Waite jamaa zako waje mkuu, make Enzi kuanza form kama umeingia jela mara ya Kwanza, usishangae wewe na mzazi mkapokelewa na wajuba na kupelekwa chooni, alafu ukifika huko unaambiwa piga push up kwenye shimo la Choo, Enzi za kupiga simu Kwa kutumia kiatu cha mhuni na kinanuka zaidi ya Choo cha soko la manispaaSisi tuliokuwa chini ya waziri waelimu akiitwa CHEDIEL YOHANA MGONJA na chuo cha malimu nyerere kivukoni kikiitwa CHUO CHA TANU
Unatuweka kundi gani mkuu
Mara kulikuwa na shule tatu, Mara,Musoma Alliance na TarimePwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Ha ha ha maveterani tupo wengi humu. Halafu vijana waliozaliwa 2003 wapo humu wanatuletea dharau,dah!Walipishana kama sikosei makweta ndo alimwachia Sarungi, ikiwa form four ulifanya mtihani wa siasa wewe ni Kaka, lakini kama umefanya civics na ukiwa umeisoma civics wewe ni mdogo wangu. Mimi ndo tuliofanya mtihani wa Kwanza wa civics
Mara mlikua juu ya Mwanza.Mara kulikuwa na shule tatu, Mara,Musoma Alliance na Tarime
Ahaaaa WAPOZEE BABUUUUUHa ha ha maveterani tupo wengi humu. Halafu vijana waliozaliwa 2003 wapo humu wanatuletea dharau,dah!
Wale Haters kuhusu Wachagga waje waisome hii,ukiona vyaelea ujue vimeundwa.Pwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Nilibahatika kumiliki mtoto mkali songea mtamu. Uchi dabradbra usomakovu. ShimofupiKabisa mkuu kilikuwepo kile cha wakatoliki sjui Kama Bado kpo Kuna kipind kilizuiliwa kudahi
Kipo chuo kikuu cha madaktar hapa peramiho sjui kinaitwa St James vjana wanasoma ila kimezuiliwa kudahil wengine had marekebisho yafanyike
Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia.Wale Haters kuhusu Wachagga waje waisome hii,ukiona vyaelea ujue vimeundwa.
Ndio. Kabla ya 1980.Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia.
1.Umbwe
2.Lyamungo
3. Moshi Technical
4. Old moshi
5.weru weru girls
6.Ashira girls
7. Machame girls
8. Mawenzi
9. Kibohehe
10.kibosho girls
11. Maua semiari
12. Uru seminari
13. St. James seminari
14. Kiraeni sekondari
15...........100 orodha hii ni kwa zile shule zilizokuwepo kabla ya mwaka1980 tuu. Tusiweke sekondari za kata. Karibuni wadau mchangie. Ili kuufahamisha uma wa Tanzania kwamba wakati makabila mengine yakiwa yamelala usingizi wao waliamka na kuwekeza kwa kiasi kikubwa kwenye elimu. Hivyo nafasi mbali mbali wanazoshikilia siyo kwa upendeleo wala bahati mbaya na wataendelea kuwa mbele sana isipokuwa kwenye zile nafasi zinazotolewa kwa uteuzi wa Rais au hisani za kisiasa kama wakuu wa wilaya, mikoa, mabalozi, wakuu wa taasisi wakirugenzi n.k
sawa HR umesomeka vemaWale ambao baada ya hapo tulianza kuunga unga na Leo hii tuna digrii na tunapiga hela kuliko hela kuliko waliopiga one za Saba na one ya tatu A levels, lakini Leo hii wako chini yetu tukiwafanyia tathmini za kiutendaji.
Wamemzidi babako umri bila shaka.Aisee humu kuna ma komredi wamekula chumvi balaaa
😂😂🤣Ha ha ha maveterani tupo wengi humu. Halafu vijana waliozaliwa 2003 wapo humu wanatuletea dharau,dah!
Tumia muda kidogo kutafakari hivi ni Kwa nini Msimamizi wa Research anaipitia na anakurudishia ufanye marekebisho. Vema chukuwa mtiririko wa maneno ukiachana na spelling errors huu siyo mtihani wa kuandika maneno Kwa sahihiEbu subiri kwanza,Phisics ndo somo gani hilo?
Mkwakwani vpPwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Mkwakwani iko TANGA. Ni shule ya juzi kabisa Ile, zamani Yale majengo yalikua shule ya Msingi.Mkwakwani vp
Prof.MajimarefuPwani zilikua
Minaki
Bagamoyo
Kibaha
Ruvu
Ikwiriri Ile shule iliyojengwa na wa Cuba Kama Ruvu na moja iko mkoa wa Moro.
Mkoa uliokua unaongoza kwa shule ilikua Kilimanjaro. Kulikua na shule 81. Ndio ujue sio kwa ukabila kwamba wachagga wako kila sekta katika nji hii.
TANGA zilikua shule 9 tu
Galanos aka Nguvumali
Usagara
TANGA school
Popatlal
Jumuiya
Hegongo Muheza
Korogwe girls
Boza technical
Magamba Lushoto
Wilaya ya Handeni ilikua haina shule ya sekondari ndio maana hakuna wazigua wasomi. Nadhani mpaka sasa hakuna profesa wa kizigua.
Uzeee mwisho chalinzeShika adabu yako. Nilianza shule nikiwa mdogo sana. Bado Niko njema
Acha uongo wew.seminari ya kwanza nchini ilifunguliwa mwaka 1903 huko bukoba inaitwa Rubya seminary na ndo imetoa mapadre wa kwanza nchini,maaskofu wa kwanza pamoja na kardinali wa kwanza mweusi duniani Kardinali Rugambwa.Tuanze kuorodhesha sekondari za kilimanjaro wakati huo hazikuwa 81 tuu zilikuwa zaidi ya 100. Nitaweka chache wengine watajazia.