Sarungi aliukwaa uwaziri kipindi Cha AHM Wakati Makweta alianza uwaziri enzi za Mwalimu mwaka 1981.Mkuu mimi ni mdogo wako au kaka yako? Waziri wangu wa Elimu aliitwa JACKSON MAKWETA...vuta kumbukumbu kati ya Sarungi na Makweta nani alianza...kkkkk
Dah mkuu unakumbukumbu sana. Hapo Pwani kulikuwa na shule kadhaa maarufu Kibaha, Minaki, Bagamoyo, Ruvu n.kSarungi aliukwaa uwaziri kipindi Cha AHM Wakati Makweta alianza uwaziri enzi za Mwalimu mwaka 1981.
Sisi wengine tulisoma enzi za yule mpare mkware Mgonja na baadaye mama Tabitha Siwale wakati ule Tanzania nzima shule za sec zilikua 189.
Lindi kulikua na shule moja
Kigoma moja
Pwani zilikua 6
Dar zilikua kumi na moja tu.
Kinondoni
Mzizima
Shaaban Robert
Zanaki
Kisutu
Jangwani
Azania
Tambaza
Kibasila
Pugu
Forodhani
Mgulani ilikua ya wanajeshi
Sasa hivi nasikia Dar Kuna zaidi ya shule Mia mbili za sekondari.
Tumeendelea.........
Aisee humu kuna ma komredi wamekula chumvi balaaaSarungi aliukwaa uwaziri kipindi Cha AHM Wakati Makweta alianza uwaziri enzi za Mwalimu mwaka 1981.
Sisi wengine tulisoma enzi za yule mpare mkware Mgonja na baadaye mama Tabitha Siwale wakati ule Tanzania nzima shule za sec zilikua 189.
Lindi kulikua na shule moja
Kigoma moja
Pwani zilikua 6
Dar zilikua kumi na moja tu.
Kinondoni
Mzizima
Shaaban Robert
Zanaki
Kisutu
Jangwani
Azania
Tambaza
Kibasila
Pugu
Forodhani
Mgulani ilikua ya wanajeshi
Sasa hivi nasikia Dar Kuna zaidi ya shule Mia mbili za sekondari.
Tumeendelea.........
Pwani zilikuaDah mkuu unakumbukumbu sana. Hapo Pwani kulikuwa na shule kadhaa maarufu Kibaha, Minaki, Bagamoyo, Ruvu n.k
Shika adabu yako. Nilianza shule nikiwa mdogo sana. Bado Niko njemaAisee humu kuna ma komredi wamekula chumvi balaaa
Peramiho yetu kwenu Ruvuma ilikua si hapaWazigua hawana profesa had leo?
Wahadzabe watawapita hao maana kuna vijana wako wanaitafuta PhD kutoka kabila hilo
Hahaha haha Wangoni wanapenda Ngono na Pombe na Masherehe yenye minusoPeramiho yetu kwenu Ruvuma ilikua si hapa
Kulikua na
Kigonsera
Songea boys
Songea girls hii shule ilikua na wasichana wakware sana.
Nadhani Hadi Sasa Ruvuma hakuna chuo kikuu hata kimoja. Hii inaonyesha Ni kiasi gani wakunyumba wanawekeza kwenye pombe na ngono. Shauri yenu
Kabisa mkuu kilikuwepo kile cha wakatoliki sjui Kama Bado kpo Kuna kipind kilizuiliwa kudahiPeramiho yetu kwenu Ruvuma ilikua si hapa
Kulikua na
Kigonsera
Songea boys
Songea girls hii shule ilikua na wasichana wakware sana.
Nadhani Hadi Sasa Ruvuma hakuna chuo kikuu hata kimoja. Hii inaonyesha Ni kiasi gani wakunyumba wanawekeza kwenye pombe na ngono. Shauri yenu
Shikamoo babuSisi tuliokuwa chini ya waziri waelimu akiitwa CHEDIEL YOHANA MGONJA na chuo cha malimu nyerere kivukoni kikiitwa CHUO CHA TANU
Unatuweka kundi gani mkuu
Marahaba mjukuuShikamoo babu
Hesabu tulisoma kama mwezi mmoja Tu tukiwa form three na tukifundishwa na jkt Kwa MJIBU wa sheriaDaa elimu kwamba hamkusoma hesabu kabisa😂😂
Walipishana kama sikosei makweta ndo alimwachia Sarungi, ikiwa form four ulifanya mtihani wa siasa wewe ni Kaka, lakini kama umefanya civics na ukiwa umeisoma civics wewe ni mdogo wangu. Mimi ndo tuliofanya mtihani wa Kwanza wa civicsMkuu mimi ni mdogo wako au kaka yako? Waziri wangu wa Elimu aliitwa JACKSON MAKWETA...vuta kumbukumbu kati ya Sarungi na Makweta nani alianza...kkkkk