mkiva tena ndani ya nyumba.

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
620
habari wana cc?
Baada ya kutoonekana kwenye familiya hiii kwamuda kidogo hatimaye nimerejea tena kundini.
 
Welcome back mkiva !
Nway hapo neno @c2 ndiyo kidogo sijakuelewa it standin for ?
 
Last edited by a moderator:
huwa wanakwenda kutambika makwao daddt watu8
 
Last edited by a moderator:
Hivi huwa mnaenda wapi???

Afu baba yao kulikoni? Huchenzi mbali na vibinti vyako?
Viachie vitanue bwanaa!
Tangu majuzi nawaona tu! T.ako binti t.ako baba!
Watu wanashindwa hata kuwapiga flash ya ukope! Dingi upo pembeni mijicho kkodoh!
 
Wee CHARMy hebu kaakaa mbali na dingi yako, watu tunaogopa hata kununulia vocha! Afu kuna fununu anatembeaga na m'bisu mkwijini .

Jg wajua saiv nipo home ndo maana daddy ananifuatilia sana.. kila ninapoenda ananichunga... Ningekuwa mbali wala asingenifatilia... hahahaaaa... "Maisha ya nyumbani.rahajeeee"
 
Last edited by a moderator:
Afu baba yao kulikoni? Huchenzi mbali na vibinti vyako?
Viachie vitanue bwanaa!
Tangu majuzi nawaona tu! T.ako binti t.ako baba!
Watu wanashindwa hata kuwapiga flash ya ukope! Dingi upo pembeni mijicho kkodoh!

Amchunga mwanaye lol... Wataka akwapuliwe.na mafataki?!??
 
Jg wajua saiv nipo home ndo maana daddy ananifuatilia sana.. kila ninapoenda ananichunga... Ningekuwa mbali wala asingenifatilia... hahahaaaa... "Maisha ya nyumbani.rahajeeee"

Huyo dadio wako mwenyewe mtaa wetu huku ana watoto mapacha.
 
mkiva i missed you alots jaman.
 
Last edited by a moderator:
Huyo dadio wako mwenyewe mtaa wetu huku ana watoto mapacha.

Madame B shostii hata wewe pia wajua kumbe mmoja kurwa mwingine doto. Wamefanana na baba yao ukiwaona hata huulizi
 
Last edited by a moderator:
Madame B shostii hata wewe pia wajua kumbe mmoja kurwa mwingine doto. Wamefanana na baba yao ukiwaona hata huulizi

Yaani kama korosho.
Si unakumbuka ile picha yao niliyokuonesha wakati tulipokuja Tanga mwaka jana,
hadi nae watu8 nae akathibitisha kuwa ni watoto wake.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…