Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 706
- 1,147
- Thread starter
-
- #41
Changamoto kubwa ya nyinyi wenzetu ni kuwaza kuwa mnayo hati miliki ya usahihi wa mawazo. Mtu asipoamini katika mnayoyaamini nyinyi mnamwona amepotoka, hafikiri vizuri, ni mjinga au ananufaika moja kwa moja na serikali. Nijibu objectively, moja, ukiwa na kadi ya CCM unakuwa umetenda kosa gani? Mbili kwakupiga kura, unakuwa umevunja sheria gani ya nchi? Tatu, kipi kinakufanya udhani mawazo yako ya no reform no election ndio mawazo bora kuliko no election no reform?Waache waje..
Na ukiona hivi, maana yake dawa ya sindano za NO REFORMS NO ELECTION zimeingia sawasawa, wanatoka kupima upepo, kutafuta opinion....
Ukiona hivi, ujue ni giza limeingia kwa popo kutoka walikojificha...
Wewe hebu angalia tu hoja zake. Ni purely za ki - CCM...
Hana hata akili za kufikiri vyema...
Kwamba, tuingie kwenye uchaguzi kwa sheria na tume ileile iliyokwisha ku - prove failures halafu utegemee matokeo tofauti..?
Huyu jamaa Dr Adam Francis bila shaka udaktari wake ni wa kupewa tu na si wa kutumia akili darasani...
Ushauri wake huu, laiti ungekuwa ndio enzi za kina Nelson Mandela, basi South Africa mpaka leo ingekuwa bado chini ya wazungu wabaguzi wa rangi...!!
Ushauri wake huu, ungekuwa ndio wa enzi za Julius K. Nyerere na TANU yake, basi Tanganyika mpaka leo ingekuwa chini ya ukoloni wa Mwingereza...!!
Dr Adam Francis sikiliza bwana
Ule woga na utu kidogo wa kuruhusu chaguzi huru, za haki na za wazi kwa kiwango fulani kama ilivyokuwa back in 2015 na kurudi nyuma kwa sasa Tanzania haupo na hauwezekani tena...!!!
And actually the reason is very simple, na ni kwamba, CCM wameshakula nyama za watu na hawawezi kuacha kula asilani kwa maneno laini na ya kubembeleza unless itumike nguvu kuwafanya waache...!!
Kwa hiyo your advice is nonsense and it can't be accepted by free minded people..
Vita imeanza na haitakoma mpaka uhuru wa pili wa Tanganyika upatikane. We understand kwamba, you don't care anymore. Mnaweza kuendelea na kufanya mliyozoea kufanya, kujiweka kuwa viongozi kwa nguvu pasipo ridhaa ya wananchi. Endeleeni, lakini mna muda mfupi sana kufurahia matunda ya udhalimu wenu and THE PAYBACK IS COMING FAST BEFORE YOU...
Waambie CCM wenzakohivi, kama ina wanachama watiifu 13,000,000 kama inavyojidai, kwanini waogope uchaguzi huru, wa haki na wa wazI? Kwani wanaogopa ku - champion electoral system reforms kuanzia ktk katiba hadi kwenye sheria zetu za uchaguzi..?
Ni rahisi tu. Watanzania tunataka hicho, kisha twendeni kwenye uchaguzi kwa pamoja. Ashindae, ashinde kwa haki na ashindwaye, ampongeze aliyeshinda.
Mr Dr Adam Francis ugumu kwenye hili uko wapo? Kwanini mnang'ang'ania kuishi mkiwa mbeba roho ya wizi na dhuluma ndani yenu? Hamuogopi hukumu ya HAKI ya adhabu yenu toka kwa mwenyezi Mungu iliyo mbele yenu..?
Kwani kwenye uchaguzi wa mwaka 2019,2020 na 2024 kwenye serikali za mitaani nn kinaendelea hadi NO ELECTION NO REFORMS isiwe kitu cha maana kwa watanzania.Ahadi ya katiba mpya ndio imekukera hivi? Kwani kwenye No reforms No election unadai nini?
Nendeni mkachaguane muibiane wenyewe kwa wenyeweChangamoto kubwa ya nyinyi wenzetu ni kuwaza kuwa mnayo hati miliki ya usahihi wa mawazo. Mtu asipoamini katika mnayoyaamini nyinyi mnamwona amepotoka, hafikiri vizuri, ni mjinga au ananufaika moja kwa moja na serikali. Nijibu objectively, moja, ukiwa na kadi ya CCM unakuwa umetenda kosa gani? Mbili kwakupiga kura, unakuwa umevunja sheria gani ya nchi? Tatu, kipi kinakufanya udhani mawazo yako ya no reform no election ndio mawazo bora kuliko no election no reform?
No reforms no election. Huu ujinga kajadili na mkeo usituletee hukuKatika siasa, kaulimbiu na propaganda ndizo karata zinazounogesha mchezo wa uchaguzi. Kila mshindani wako anapochanga karata zake, timu yako lazime ichange karata zako. Hiki ndicho kilichotokea kuelekea October 2025.
Wakati CHADEMA wanaendelea na campaign ya No reform no election, CCM wamekuja na ilani ya uchaguzi inayoahidi katiba mpya ambayo kimsingi ndio reforms zinazodaiwa. Kwa lugha rahisi hili ni tamko thabiti kuwa, MKITAKA REFORMS, MKAPIGE KURA.
Sasa mpira upo kwa wapiga kura, kuhusu njia gani waitumie kupata reforms, kwa kushiriki uchaguzi kama wanavyohimizwa na CCM? Au kwa kuzuia uchaguzi kama wanavyohimizwa na CHADEMA. Nachelea kusema kama mnayo nia thabiti ya kuleta mabadiliko ya katiba, basi njia rahisi kati ya hizi ni kuchagua CCM.
Kwa faida ya wasomaji, Misingi na Malengo Kuu ya Ilani 2025-2030 ni kama ifuatavyo:
1. Kuendeleza Uchumi wa Viwanda na Biashara Ndogo (TEHAMA)
Kuimarisha mazingira ya biashara na kukuza uwezo wa viwanda vya ndani, pamoja na kuwawezesha wafanyabiashara wa TEHAMA kupitia mikakati ya kifedha na kiutawala.
2. Uboreshaji wa Huduma za Kijamii Vijijini
Kupanua upatikanaji wa maji safi, huduma za afya, elimu bora, na nishati kwenye maeneo ya vijijini kwa kuzingatia ufanisi na uendelevu.
3. Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi.
Kupanda miti milioni 100 kila mwaka ili kudumisha misitu, kudumisha mazingira, na kuongeza mvua .
4. Kuimarisha Diplomasia ya Kiuchumi na Usalama wa Taifa
Kukuza ushirikiano wa kimataifa, kulinda rasilimali za taifa (gesi, madini, misitu), na kuimarisha usalama wa ndani na nje.
5. Katiba Mpya ya Muungano
Kwa mara ya kwanza, Ilani ya CCM imeipa kipaumbele kuongoza mchakato wa Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano ndani ya miaka mitano ijayo, ikilenga kujibu mahitaji ya kisasa kijamii, kiuchumi, na kisiasa
1. Sio kweli. Hiyo ni dhana yako tu na kutojiamini kwako kwa sbb unajua kuwa wewe na CCM yenu huko hamna hoja kabisa za kutetea uhalali wa ushindi wenu ktk chaguzi zote chini ya mfumo wa vyama vingi tangu mwaka 1995 ktk maswala haya...Changamoto kubwa ya nyinyi wenzetu ni kuwaza kuwa mnayo hati miliki ya usahihi wa mawazo.
Wewe huamini nini na sisi tunaamini nini kwa ulinganifu?Mtu asipoamini katika mnayoyaamini nyinyi mnamwona amepotoka, hafikiri vizuri, ni mjinga au ananufaika moja kwa moja na serikali.
Hakuna kosa...Nijibu objectively, moja, ukiwa na kadi ya CCM unakuwa umetenda kosa gani?
Hakuna..Mbili kwakupiga kura, unakuwa umevunja sheria gani ya nchi?
Kwa sababu;Tatu, kipi kinakufanya udhani mawazo yako ya no reform no election ndio mawazo bora
√ Mimi ninataka tufanye mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi kwanza ndo twende kwenye uchaguzi ambayo ndiyo maana ya NO REFORMS NO ELECTION..kuliko no election no reform?
1. Sasa ndugu Dr Adam Francis, hivi kweli unaweza kumtofautisha mtu kwa kile asemacho (ajenda/hoja) na personality yake?Siku utakapojifunza kutofautisha agenda na personality utakuwa umepevuka kwenye siasa. Siasa sio mapenzi, kwamba unachagu wako na kukubaliana kufa na mapungufu yake. Siasa ni jukwaa la kujadili maswala yahusuyo maisha ya watu wetu. Hoja nzuri inachukuliwa nakutelekezwa bila kujali imetolewa na nani? Dr Slaa ali-campaign kutoa elimu bure akiwa anagombea urais, ingawa mwanzo CCM walisema haiwezekani alipokuja JPM alitekeleza. Hiyo ndio siasa yenye tija.