Mkishindwana chumbani,hamtawezana popote

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Wanandoa na wapenzi,

Chumba ndiyo ofisi yenu.ridhishaneni,jadilianeni,kosoaneni,gegedaneni kwa viwango,ombaneni msamaha na msameheane humo.mkitoka nje ya chumba chenu tu,haitawezekana tena.

Asanteni kwa kusoma hapa na kuanza kuelewa.
 
Kuna watu wanapenda kushtaki kwa wazazi au wake? Utazani mipo yoyo.
 
Tatizo nyumba nyingine madirisha madogo sana, hamna ventilation ya kutosha, so wanakuja kubarizi nje!
 
Mimi naona sehemu nzuri ya kumalizia migogoro ni sebuleni mkiende chumbani ni shughuli moja tu tuliyotumwa na Bwana kula tunda la mti wa uzima........enendeni mkaujaze ulimwengu"
 
Some couples needs a third party..ndo maana kuna marriage counselors
 
Chumbani ndo kila kitu ila kuna wababa wengine ustarabu F nimewahi shuhudia mwanmke anagombezwa dinning wakati wanakula kukiwa na watoto.binti wa kazi name wifi mtu. hii c nzuri hataa
 
Some couples needs a third party..ndo maana kuna marriage counselors

Mkuu, nadhani ni vyema couples wakatafuta hao counselors kabla ya kufunga ndoa kusudi wafanye maamuzi wakiwa well informed....otherwise kama hawakuhitaji ushauri kabla ya ndoa basi aliyoshauri mleta uzi ni ya kuzingatia sana.
 
Mkuu, nadhani ni vyema couples wakatafuta hao counselors kabla ya kufunga ndoa kusudi wafanye maamuzi wakiwa well informed....otherwise kama hawakuhitaji ushauri kabla ya ndoa basi aliyoshauri mleta uzi ni ya kuzingatia sana.

Counselors wanatafutwa after crisis
 
dah umeyasoma mwazo yangu
na hii yote uepusha kukosoana mbele ya watoto,mashemeji na pia ndugu
kuna watu hawez kujizuia kujibu(wanawake) na kuna watu hawapendi kukosolewa(wanaume)

sasa wewe jaribu kumkosoa mbele za watu kwanza hakuelewi pili anaeza akakupa kibao kitakatifu

ila assume umemkumbatia kwa naneno malaini na kwa sauti ya upole "baby sikupenda ile chating yako katika simu na yule mfanyakazi mwenzako" na kuhakikishia hata kama ni chepuko lake la kudumu atamuacha
sasa unakuta mtu ile kashuka tu kwenye gari hujali watoto wala mashemeji unaanza NISHALIJUA CHEPUKO LAKO NAKWAMBIA UTANIKOMA loooh
 
Sishauri kabisa kuwatumia hao wasuluhishi na watoa nasaha, nao ni binadamu kama wengine tu wana changamoto zao na matatizo yao pia! Na huwa kuna wakath huegemea upande bila logic
 
People are not ready to adapt themselves to each-others disposition .Mwisho wa siku ndoa inakuwa na maumivu mengi ya moyo na mwili{misery}
Kwasababu hiyo ndiyo maana hawaelewani na hawawezi kuongea lugha moja ndio maana third party itatakiwa .
 
Lakini kila mtu akikubali kukaa kwenye nafasi yake na kumsoma mwenzie vizuri ndoa lazima iwe tamuu🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…