Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Mindset... Matumizi sahihi ya taasisi za kifedha.. Nknk

Jr
Mbona huyasemi aliyoyafanya CDM kule Mwanga akiwa waziri wa fedha na waziri mkuu enzi za Mwalimu JK
Yaseme pia yale aliyoyafanya CDM (akiwa waziri wa fedha na waziri mkuu) huko kwenu wilayani Mwanga Kilimanjaro, kwenye awamu ya kwanza ya Mwalimu JK. Ninyi wapare wa Ugweno na Usangi na maeneo mengi ya huko milimani mlikataa hata kuitwa wapare; mkasema ninyi ni wagweno ili kujitofautisha na wapare wenzenu wa Same ambao enzi hizo mliwaona wenzenu ni choka mbaya!!
Mlipata upendeleo wa kuboresha maisha yenu kwa raslimali nyingi za nchi, mkapelekewa miundombinu muhimu kama umeme na barabara. CDM hakujali kwamba eneo lenu la Mwanga halina mchango wa maana kwenye kukuza uchumi wa taifa; mpaka leo!! Nyani haoni kundule!!
 
Muwe mnasoma kitu na kukielewa... Kwahiyo unataka kunipangia cha kuandika? Muktadha wa mada yangu ulikuwa huo kama unaona nimekuwa biased unakuja na reply yako ama mada kamili
Jr[emoji769]
 
Brother labda tu ni kwambie huwezi linganisha alichofanya kikwete msoga na yanayoendelea huko chato ahaaaaaa bro chato imefukia kwa saaana aisee, tena inafanyika bila woga wowote yaaani kiubabe ubabe maana hakuna wa kumtisha.

msoga is nothing compare to chato aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
 
Uzi huu ni mzuri sana tu, ila kwa maoni yangu umeharibu kwenye paragraph ya 9 na ya 11.

Paragraph ya tisa kimantiki, inamaanisha maendeleo kama hayo yanatakiwa kupelekwa kaskazini tu. Kwa sababu yangepelekwa kaskazini yangeleta tija zaidi. Hii ni disrespect kwa watu wa Chato.

Paragraph ya 11. Inaonyesha kwamba wakaskazini ndio watakaokomboa kila kinachofanywa Chato.

Generally, umeonyesha Wakaskazini ni better kuliko wachato. Umewadharau na kuwadharirisha sana. Kiuungwana tu ungewaomba radhi.

Kama jiwe anapendelea Chato mchukie yeye sio wao wote. Hakuna mchato aliyemtuma apendelee kwao.

Ni maoni yangu tu.peace

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Peace and love [emoji111][emoji111][emoji111]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…