Mkiristo Mkatoliki na yeyote mwenye mapenzi mema.. Pata SHAJARA kutoka Google Playstore

ntita

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
513
285
je, wewe ni mkatoliki na una smartphone?

je, ungetamani kupata masomo ya kila siku kupitia simu yako?

kama ndio, basi pata shajara kutoka google playstore kwa kubonyeza link hii hapa chini...

Shajara - Android Apps on Google Play

hapo utapata masomo ya tangu juzi mpaka kesho kutwa(siku mbili kabla ya leo, leo na siku mbili baada ya leo, kila siku) pamoja na sala mbali mbali.

Mungu Akubariki kwa kua una kiu ya neno lake.

saidia kueneza injili kwa kutuma ujumbe huu mara nyingi uwezavyo.

NB:
SHAJARA ni mpangilio wa masomo ya Biblia ya kila siku kwa mwaka mzima kama unavyofuatwa na wakristo wakatoliki.
 
Mungu akubariki kwa utashi wako wa Ku-share neno la Bwana
 
Mungu akubariki sana mkuu @ntita,mie natumia windows phone nasikitika nimeshindwa kuipata.hatuwezi kuipata version ya ktk windows?
 
ngoja niwasiliane na developer wa hii app... ntakupa mrejesho.
 
Yes! Sasa hivi ibada zote ndani ya rom tu, haina haja kwenda Kanisani.
 
Back
Top Bottom