Alishaletwa jukwaa fulani alipoacha kazi mji wa sato/sangara, ndio ikasemwa ni mke wa mtu, japo wapo waliojiapiza kwamba watamrukia.Unauhakika gan kina mtu
Kina mtu mkuu, tena mwenye nacho ni mtangazaji mwenzie palepale azamUnauhakika gan kina mtu
mkuu una ukoo na kinyonga? hueleweki umekusudia tuone kisimbuzi na singsung au yaliyomo! hahaha, uambie mtima usukume damu tu hayo mengine.......Mimi mwenyew kikiisha hich itabid tuu niangalie tbc japo siipend kabisa