Mkimbiaji kama huyu baadaye inakuja kuthibitika kuwa alikuwa anatumia dawa za kuongeza nguvu,itasikitisha sana

Ana world record hii ya 6 ,angekuwa anatumia basi huko nyuma angeshathibitika
Mkuu wakenya siwaamini kabisa kuna kiongozi mmoja wa riadha alisema ukweli kwba wanatumia dawa hajasema ni zipi labda za asili huwezi kujua
 
Semenya mpuuzi yule anataka kufanya.dunia nzima wajinga yeye ndiye mjanja, anatoka kuchukua medali kwa wanawake halafu kurudi kwao anachumbia, mengine yote hana tatizo nayo ila kwenye riadha akakimbie na wanawake, bora alivyoachia
Ha ha ha ha kama Casta Semenya
 
Semenya mpuuzi yule anataka kufanya.dunia nzima wajinga yeye ndiye mjanja, anatoka kuchukua medali kwa wanawake halafu kurudi kwao anachumbia, mengine yote hana tatizo nayo ila kwenye riadha akakimbie na wanawake, bora alivyoachia
Ha ha ha anamkewe😀😀😀😀😀inawezekana viungo vyake vyote vipo active
 
Haiwezi kutokea kwa maana muda wote alipokuwa akijiandaa kwa tukio hili alikuwa chini ya uangalizi wa kila aina ya diet, na alikuwa anakula, kunywa na kutibiwa na wataalamu maalum
watu maalum kama kocha wa mo farah sio!!..kuna uwongo mwingi sana huko na kwenye baiskeli,hata kandanda
 
Hii haikuwa mbio rasmi za riadha na hazitambuliki na bodi yoyote ya riadha, ilikuwa ni kama research fulani hivi ambayo simulation ilitengezwa kwanza kwenye Computer ndio akapewa aikimbie, nadhani waliokuwa wakikimbia nyuma yake ni wapambe na sio washindani wenzie

Back
Top Bottom