Mkigombana atakae toka ndani ya nyumba ni nani?

Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,719
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,719 2,000
Umekutana na binti mjini Dar, binti huyu wazazi wake ni wanasiasa tangu enzi za chama kushika hatamu. Wana eneo la heka tano na zimezungushiwa uzio.

Mapenzi yenu yameiva mpaka mnaona. Siku ya harusi mbele ya wageni Baba mkwe kwenye hotuba yake anawapa kiwanja ndani ya eneo lake, kwa tambo anasema wajukuu zake wasizaliwe kwenye nyumba ya kupanga.

Baada ya honeymoon mmepewa guest wing muanzie maisha wakati mnajenga. Mmejenga nyumba imekwisha na mmehamia.

Mmekorofishana kidogo na mke, hali halisi ni kuwa wote mna hasira mmoja wenu inabidi aondoke kwa muda. Kati ya wewe na mke wako ataondoka nani?
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
29,751
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
29,751 2,000
Dada hapo huyo Me ambaye hakujua kusema No kwa aliloambiwa na mkwewe huko nyuma hapo ni lazima afungashe.

Sababu akibaki hadi huyo Mkwe wake mwenyewe aliyewapa hicho kiwanja atamshangaa kwani hapo si ajabu akaambiwa zake ni tofali tu na mabati tena akiwa mbishi zaidi si ajabu akaambiwa bomoa uondoke navyo kiwanja chetu tuachie. Teh.
 
simamajuu

simamajuu

Member
Joined
May 10, 2019
Messages
70
Points
125
simamajuu

simamajuu

Member
Joined May 10, 2019
70 125
Kuna jirani angu aliolewa na mke mwenye kila kitu kajenga ananyumba na gari afu alikua na kaeneo kadg ajajenga yule jamaa. Walivo ishi kwa mda flani akaamishia na vitu vyake vyote pale. Baadae akaamua ajenge vinyumba vya wapangaji penye kaeneo kaliko kua kamebaki apo pembeni, mwisho wa Siku wakagombana wakamwambia beba tofari na mabati uondoke, jmaa alipagawa. Wanaume tutumie akili mda mwingine
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,719
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,719 2,000
Kuna jirani angu aliolewa na mke mwenye kila kitu kajenga ananyumba na gari afu alikua na kaeneo kadg ajajenga yule jamaa. Walivo ishi kwa mda flani akaamishia na vitu vyake vyote pale. Baadae akaamua ajenge vinyumba vya wapangaji penye kaeneo kaliko kua kamebaki apo pembeni, mwisho wa Siku wakagombana wakamwambia beba tofari na mabati uondoke, jmaa alipagawa. Wanaume tutumie akili mda mwingine
Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.

Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,493
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,493 2,000
Kuna mmoja alimpata mdada wa 30+ kanisani. Dada amesoma masters Makerere, ofisini ni head wa department, ana nyumba mbili, Ana mabanda manne ya kuku na kila banda Lina uwezo wa kuchukua kuku 500, ana hiaice mbili za kwenda Bagamoyo.

Kaka alijua amepata kitonga. Alimtamkia mimi ninataka kukuoa. Dada alilia kwa furaha. Kabla ya kuvakishwa pete, yule dada alimwambia hivi vyote ni vyangu. Nyumba zote nitapangisha mimi na wewe tukapange tuanze moja. Ukiwa kama mwanaume ninategemea utakua unachangia kodi kila mwezi.
😂😂😂 huyo demu atakuwa mkenya tu
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,132
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,132 2,000
Mkishapewa, ni vyenu bila kujali location. Inakuwaa sawa na kama vile mlinunua wenyewe...
LAKINI KIAFRIKA, KUISHI ENEO MLILOPEWA NA BABA WA MKE NI DHARAU FLANI HIVI KWA MWANAUME... KATIKA HILI MWANAUME AONDOKE

Shida nyingine iliyopo kwenye mali za kupewa, HASA WANAWAKE, wanakuwaga na DHARAU sana na maneno ya kejeli kibao...

Nina mfano wa jamaa yangu flani aliowa mwanamke YATIMA lakini karithi nyumba ambayo haikuwa imeisha na wakawa wanaishi humo huku wakiimalizia kuijenga Mwanamke, kila wakikirofisha anarusha RAMBO nje huku akiutangazia uma kuwa atoke hakuja na lolote.... Mwanaume amevulia hali hiyo Kwa miaka 12, mwisho kaamua AONDOKE yeye na nguo zake tu akawaacha watoto na mradi waliouanzisha. BIDADA ANAHAHA SAA HIZI KUTAKA MUMEWE ARUDI... MUME KAPANGA NA ANAMJIBU MDADA KUWA ASUBIRI AKISHAJENGA WATARUDIANA
 
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
34,719
Points
2,000
Sky Eclat

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
34,719 2,000
Mkishapewa, ni vyenu bila kujali location. Inakuwaa sawa na kama vile mlinunua wenyewe...
LAKINI KIAFRIKA, KUISHI ENEO MLILOPEWA NA BABA WA MKE NI DHARAU FLANI HIVI KWA MWANAUME... KATIKA HILI MWANAUME AONDOKE

Shida nyingine iliyopo kwenye mali za kupewa, HASA WANAWAKE, wanakuwaga na DHARAU sana na maneno ya kejeli kibao...

Nina mfano wa jamaa yangu flani aliowa mwanamke YATIMA lakini karithi nyumba ambayo haikuwa imeisha na wakawa wanaishi humo huku wakiinalizia. Mwanamke, kila wakikirofisha anarusha RAMBO nje huku akiutangazia uma kuwa atoke hakuja na lolote.... Mwanaume amevulia hali hiyo Kwa miaka 12, mwisho kaamua AONDOKE yeye na nguo zake tu akawaacha watoto na mradi waliouanzisha. BIDADA ANAHAHA SAA HIZI KUTAKA MUMEWE ARUDI... MUME KAPANGA NA ANAMJIBU MDADA KUWA ASUBIRI AKISHAJENGA WATARUDIANA
Jeuri mwenzie kiburi.
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,132
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,132 2,000
Jeuri mwenzie kiburi.
Ni kweli. Na wanawake hukosa pa kushitaki kama mwanaume ameondoka na kuacha kila kitu.... Kesi zinakuwaga ngumu kama kuna cha kugawana... ILA KAMA UMEACHIWA KILA KITU LAZIMA UJISIKIE VIBAYA....

Wanawake wana maneno ya kejeli na jeuri SANA... BINAFSI NAYAITAGA maneno ya kuondokea... COME TWO MONTHS ndo utaona gepu lililoachwa na jamaa
 
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,556
Points
2,000
kokontiko

kokontiko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,556 2,000
Mkishapewa, ni vyenu bila kujali location. Inakuwaa sawa na kama vile mlinunua wenyewe...
LAKINI KIAFRIKA, KUISHI ENEO MLILOPEWA NA BABA WA MKE NI DHARAU FLANI HIVI KWA MWANAUME... KATIKA HILI MWANAUME AONDOKE
Shida nyingine iliyopo kwenye mali za kupewa, HASA WANAWAKE, wanakuwaga na DHARAU sana na maneno ya kejeli kibao...
Nina mfano wa jamaa yangu flani aliowa mwanamke YATIMA lakini karithi nyumba ambayo haikuwa imeisha na wakawa wanaishi humo huku wakiimalizia kuijenga Mwanamke, kila wakikirofisha anarusha RAMBO nje huku akiutangazia uma kuwa atoke hakuja na lolote.... Mwanaume amevulia hali hiyo Kwa miaka 12, mwisho kaamua AONDOKE yeye na nguo zake tu akawaacha watoto na mradi waliouanzisha. BIDADA ANAHAHA SAA HIZI KUTAKA MUMEWE ARUDI... MUME KAPANGA NA ANAMJIBU MDADA KUWA ASUBIRI AKISHAJENGA WATARUDIANA
Unaweza kucheka huku umeng'ata meno.Unamdhalilisha halafu unataka arudi?Hata kama ni mimi sirudi hata ipigwe mbiu ya mgambo wa kijiji.
 
Forum statistics

Threads 1,295,945
Members 498,479
Posts 31,228,768
Top