Bibi yetu tumejuchanga wajukuu tumemjengea nyumba ya bati
Kahama kahamia nyumba ya Nyasi kwa mdogo wake anasema bati linampgia kelele mvua inaponyesha๐ ๐ ๐ ๐
Siku hizi vijijini watu wanajenga kwenye hilo mimi hua sina excuse yoyote ni mentality tu kwani usipojenga wakitaka kukuua watakuacha? Lazima kuwekeza kwenu hata kidogo maana ndio kwenu huwezi kua na kwingine kwa thamani kama kwenu kwenye retirement age ni muhimu kurudi kupumzika nyumbani sasa kuepuka kelele za mijini huko unakua na vikuku, vimbuzi kadhaa, vikanga, vibata, miti ya machungwa kiasi na mapapai kiasi, hapo ni kupumzika tu unavaa yebo zako na jinzi fulani royal colour ya heshima unahudhuria jumuia na kushiriki matatizo ya wengine kijijini basi unasubiri siku zipite basi
Afadhali iwepo kama hivo na sio kuleta excuse kwenye mambo ya msingi kama hayo na hayo ndio maendeleo yenyewe vijiji vyetu tutasema vibaya lakini bila kushtuka kukawa na nyumba bora bado sii haki kwa wazee wetu
Bibi yetu tumejuchanga wajukuu tumemjengea nyumba ya bati
Kahama kahamia nyumba ya Nyasi kwa mdogo wake anasema bati linampgia kelele mvua inaponyesha๐ ๐ ๐ ๐