Mkifika DAR muwe mnauliza

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Atakuwa ndio wale wale wa kishumundu......
Wanaoanza kuvaa viatu kabla ya soksi.....
 
Mwanakwaya huyoooo, wamekuja kufanya shootings,ametoka location na uniform
 
Labda baadhi ya Matairi hayazunguki.

Lakini hapo yuko kwenye kuchagua, alikuwa na uwezo wa kushusha
 
Hahah!, Jamani mwacheni kakaangu.
Msicheze na nguvu ya ugali wa kisukuma nyie, kusukuma cart anaona cha mtoto kaamua kuibeba, nashangaa hakuibeba kichwani kabsa[emoji28]
Kwakweli ndugu zako ni next level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…