Mkifanya hivi tutavaa kiheshima

Mkifanya hivi tutavaa kiheshima

Weka Picha


Najua wewe ni mmoja wa wanaopenda wavaaji hivyo. Ndio ninyi mnaovunja shingo na kujiramba barabarani.

Unajua watu wanavaa hivyo kuwaridhisha maana ndivyo mnavyopenda (baadhi yenu)
 
uuuuuuuuupsi pole yako

WENGINE WANAPENDA WAVAA UCHI....

usichokipenda wewe mwenzio anapenda.....

kikubwa tafuta yule wa kuvaa unavyopenda.


Najua kuwa wapo wengi wanapenda.... ninachotaka waache kelele!
 
Nani atakuwa anahakikisha kuwa mambo haya yote wanaume hawayafanyi?
 
Nani atakuwa anahakikisha kuwa mambo haya yote wanaume hawayafanyi?


Wanawake wanakwenda kwa upepo wa wanaume. Wanaume watakapowakataa wavaa nusu utashangaa wanawake wooote watavaa vizuri.
 
Hutongozwi?

Natongozwa.

Hebu tuliangalie jambo hili kwa upana zaidi. Simaanishi wanaovaa vizuri hawatongozwi. La hasha. Ila wengi wa wanaovaa nusu hulengo kuwapata wanaume ambao watashawishika kwa kuona miili yao; na wanafanikiwa kuwapata na kuwaumiza hata kuwafadhaisha ndio maana kuna malalamiko mengi kuhusu uvaaji. Hii ndio iliyopelekea mimi kushauri kutowafatilia wavaa nusu ili wote wavae vizuri na kutongozwa kuendelee.
 
Kwa hiyo wakiendelea na ninyi mnavaa nusu uchi?
 
Kama vipi Tembeeni uchi kabisa, muone kama mtatongozwa .. Baada ya hapo. Mtaacha kuvaa nguo fupi
 
Yani kustiri mwili wako mwenyewe hadi usubiri mtazamo na mwitiko wa watu wengine....!?

Wanawake tujitambue, ukijiheshimu utaheshimika...

Ukivaa hovyo utatongozwa na watu wa hovyo aka hit and run, one night stand n.k.
Ukivaa kiheshima utatongozwa na wenye heshima zao....!

Hivi mwanaume gani anataka mwanamke anayetembeza utamu wake wote nje? Labda kwa ajili ya show off.....!
 
1. Kuanzia leo mwanamume yeyote asitongoze wala kumsemesha chochote mdada atakayevaa nusu uchi...
2 Usimtazame wala kumtolea mimacho mwanamke yeyote aliyevaa nusu uchi.
3 Usimsalimie wala kumwonyesha sura ya matamanio
4 usimsifie kuwa kapendeza wala uzuri wake
5 Usimpishe kiti kwenye daladala
6 Usimpe lifti kwenye gari au boda boda yako.....
7 Usimruhusu apande dala dala yako, Bajaji, wala pikipiki yako ,
8 Usimsogelee wala kumuuliza chochote.
9 Usimtamani yeyote aliyepaka mkorogo na kuwa kama papai bovu.

.....mengine jazieni wandugu

Kama hamtafanya hivi acheni kelelele ... pigeni kimywaaaaa


yaani mvae makusudi kisa,mwe!,hapa chapa rapa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom