alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,721
- 6,074
1. Kuanzia leo mwanamume yeyote asitongoze wala kumsemesha chochote mdada atakayevaa nusu uchi...
2 Usimtazame wala kumtolea mimacho mwanamke yeyote aliyevaa nusu uchi.
3 Usimsalimie wala kumwonyesha sura ya matamanio
4 usimsifie kuwa kapendeza wala uzuri wake
5 Usimpishe kiti kwenye daladala
6 Usimpe lifti kwenye gari au boda boda yako.....
7 Usimruhusu apande dala dala yako, Bajaji, wala pikipiki yako ,
8 Usimsogelee wala kumuuliza chochote.
9 Usimtamani yeyote aliyepaka mkorogo na kuwa kama papai bovu.
.....mengine jazieni wandugu
Kama hamtafanya hivi acheni kelelele ... pigeni kimywaaaaa
Hivi kwa akili yako unaona inawezekana?