Mkiendelea voda hivi nawapeleka mahakamani

Mkiendelea voda hivi nawapeleka mahakamani

sindano butu

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
519
Reaction score
182
Leo nimenunua muda wa maongezi elfu moja kupitia Mpesa nikapata. Sasa nikatakakununua kifurushi cha elfu mmoja cha intanet bila kikomo, nikaambiwa ushanunua kifurushi subiri muda uishe .

Sasa kucheki salio naambiwa ni zero.

HAKI YA MUNGU TUTAPELEKANA MAHAKAMANI NA NINAACHA KUTUMIA Mpesa.
 
wadai pesa yako tu mkuu yaishe, maana mahakama zenyewe magumashi tu.
 
hata mimi jana yamenikuta kama hayo. naona dawa ni kuachana nao tu hawa mafisadi.
 
kwani local shareholders wa vodacom ni nani? ukisha wajuwa jipime can you win the case against them? maana kuna jamaa yangu few minutes kabla sijaandika post hii analalamika similar problem akipiga simu customer care kuuliza hawapokei simu!amka amuwa la kufanya mkuu.
 
umelazimishwa kutumia voda?sepa uko mkuu!
 
Back
Top Bottom