Niwieni radhi kwa swali hili. Wengi hata hawafungi milango sometimes. Hivi mkikutwa mpo kama mlivyo zaliwa na mpo kwenye shugli na mtoto wenu wa miaka 8 mtafanyaje.
1. Mtamwambia mlikuwa mnacheza.
2. Mtampotea tuu.
3. Mtamwambia kilicho kuwa kinafanyika.
Sioni jibu, nisaidieni.
MMMM shughuli kwelikweli ,ila yakitokea hayo inabidi
Ujieleze kwa namna unavyomwelewa huyo mtoto wako .otherwise jaribu kumwelimisha mtoto wako awe ana
Gonga mlango kama tabia nzuri kuingia chumbani kwa baba
Watoto wasikuhizi miaka minane??adanganyiki lamsingi nikumfokea kwakitendo chakuingia ndani ya chumba cha baba na mama bila kugonga basi tena kwa ukali wa hali ya juu!hivyo hakuna kujieleza kwa mtoto uliyezaa mwenyewe maana hakuna maelezo yenye busara unayoweza kumwambia only ni self defense machanismUtakuwa bado hujamjibu alicho kiona!!!