Mkibambwa na mtoto mna nanihii mtamfanyaje

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,072
18,258
attachment.php


Niwieni radhi kwa swali hili. Wengi hata hawafungi milango sometimes. Hivi mkikutwa mpo kama mlivyo zaliwa na mpo kwenye shugli na mtoto wenu wa miaka 8 mtafanyaje.

1. Mtamwambia mlikuwa mnacheza.
2. Mtampotea tuu.
3. Mtamwambia kilicho kuwa kinafanyika.

Sioni jibu, nisaidieni.
 
Niwieni radhi kwa swali hili. Wengi hata hawafungi milango sometimes. Hivi mkikutwa mpo kama mlivyo zaliwa na mpo kwenye shugli na mtoto wenu wa miaka 8 mtafanyaje.
1. Mtamwambia mlikuwa mnacheza.
2. Mtampotea tuu.
3. Mtamwambia kilicho kuwa kinafanyika.
Sioni jibu, nisaidieni.

MMMM shughuli kwelikweli ,ila yakitokea hayo inabidi
Ujieleze kwa namna unavyomwelewa huyo mtoto wako .otherwise jaribu kumwelimisha mtoto wako awe ana
Gonga mlango kama tabia nzuri kuingia chumbani kwa baba
 
Mmm !! Inabidi uzuge kwa sana na ikibidi mumfundishe
Kugoga mlago kila unapoingia chumbani .Huo ni ushauri wangu
 
MMMM shughuli kwelikweli ,ila yakitokea hayo inabidi
Ujieleze kwa namna unavyomwelewa huyo mtoto wako .otherwise jaribu kumwelimisha mtoto wako awe ana
Gonga mlango kama tabia nzuri kuingia chumbani kwa baba

Utakuwa bado hujamjibu alicho kiona!!!
 
watoto wa siku hizi wana akili kuliko hata nyinyi watu wazima,anaelewa kila kitu,muhimu hapo ni nyinyi kuhakikisha mnakuwa makini eti
 
Kwanza mtoto wa miaka 8 ni mkubwa vya kutosha kufahamu kinachoendelea unless maendeleo yake ya ukuaji yawe yamechelewa.

Ungesema labda mtoto wa miaka 3-4 hapo ndo inaweza kuwa kazi kidogo. Lakini binti au bwa'mdogo wa miaka 8 atawastukia tu hata mumyeyushe vipi.

Hivi mnadhani watoto hawako curious na mali zao? La hasha.
 
Hapo ni makwenzi tu. Kwa nini habishi hodi kabla ya kuingia. Bila ya kufanya hivyo atafanya mazoea.
 
Utakuwa bado hujamjibu alicho kiona!!!
Watoto wasikuhizi miaka minane??adanganyiki lamsingi nikumfokea kwakitendo chakuingia ndani ya chumba cha baba na mama bila kugonga basi tena kwa ukali wa hali ya juu!hivyo hakuna kujieleza kwa mtoto uliyezaa mwenyewe maana hakuna maelezo yenye busara unayoweza kumwambia only ni self defense machanism
 
watoto wa miaka nane siku hizi wanaomba mia utawakuta wako kwenye mabanda ya video mtaani wanaangalia MAPILAU
 
Inategemea na malezi. Kwa umri huo kwa miaka ya leo atakuwa std 3 au 4 na hivyo niseme tu kuwa wanajua kinachoendele. Kama atakuwa na malezi mazuri lazima atapiga hodi kabla ya kuingia. Pia kama ana malezi mazuri akishaona mzazi yuko uchi hawezi ku stick au kung'ang'ania aendelee kuangalia. Otherwise game zuri ni usiku hawa madogo wakiwa wamelala!
 
wamiaka nane akunachakumdanya kabisa akiona tu anajua mnachakachuana na fasta atatoka kabla ujamwambia chochote ila kama mwanao wa miaka hyo anaingia chumbani kwenu bila kugonga ni malezi mabaya sorry kama maneno ni makali
 
Inabidi uwe makini sana(kufunga milango muda wote wa tukio) maana ilishatokea ishu kama hiyo wazazi wakaua soo kwa kumwambia mtoto tunapendana ndio maana tuko hivi,mtoto akajiondokea kwenda kucheza kufika kwa wenzake akaanza kuwasimulia baba yangu na mama yangu wanapendana,wanapendana sana,leo nimemkuta baba amemlalia mama kitandani, alikuwa anamuonyesha jinsi anavyompenda.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom