Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,326
Niwieni radhi kwa swali hili. Wengi hata hawafungi milango sometimes. Hivi mkikutwa mpo kama mlivyo zaliwa na mpo kwenye shugli na mtoto wenu wa miaka 8 mtafanyaje.
1. Mtamwambia mlikuwa mnacheza.
2. Mtampotea tuu.
3. Mtamwambia kilicho kuwa kinafanyika.
Sioni jibu, nisaidieni.