Mkiambiwa mke wa mtu sumu nimeamini sumu kweli

Sumu nipale unapopigwa mjengo kwa sababu ya Mke wa mtu! Hapo sijaona sumu! Ungekatwa kibao kidogo ingemake sound
 
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu, hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye.

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa.

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii

Na kwa bahati nzuri sikuomba hata namba ya sim sijui ningeomba ingekuwaje aloo, , ila niwasihi tu mkifika mahali mkakuta wanawake wamekaa sehem msome kwanza mazingira wengine huwa wapo karibu na waume zao
Kupanda daladala na mmewe na mtoto wao mchanga ni dalili ya umasikini tu
 
Unakuta dume jinga linamuamini mwanamke eti ohoo mume wangu anifikishi,hana hisia NAMI,anijali halafu takataka linataka kujifanya bingwa,unaishia kufukuliwa.
 
Hio easy tu unamuelewesha mumewe kwamba huyu mtu alikuwa classmates wangu primary au alikuwa jirani yangu au deshi nk.
 
mkuu ungejichanganya kidogo tu ungefumuliwa ngozi humo humo Kwenye daladala😂
 
Umenikumbusha sikumoja nilikuwa na mume wangu bana kwa daladala..

Sasa tulisimama wote, akatokea jamaa mmoja akanipatia siti, alafu akawa ananiangalia kimahaba

Nilivyokaa tu mmewangu akanipa begi lake nimshikie alafu akawa kama anasura ya wivu, mi nageuka dirishani najificha na pochi nachekaaa jamani

Kaka yule akawa ananiangalia balaa, najificha na pochi ili asiniongeleshe...

Nikikumbuka nacheka sana.
 
Jana nimepanda daladala ile kuingia tu nikakaa siti moja na mdada kumbe yeye ananifaham na mimi nilishamsahau, kumbe niliwahi kufanya nae kazi kipindi flani, akaanza kunichangamkia kwa stori mbili tatu, hapo hapo konda kudai nauli nikamlipia na yeye.

Kumbe bwana yule dada siti ya nyuma alikuwa amekaa mumewe na mtoto wao mchanga aloo, ile konda anadai nauli siti ya nyuma mumewe nae akalipa ila konda akamwambia huyo dada hapo mbele kashalipiwa.

Mumewe akawa anawasiwasi kalipiwa kivipi, ile wanashuka yule dada kuniaga mumewe kanikata jicho sio la nchi hii

Na kwa bahati nzuri sikuomba hata namba ya sim sijui ningeomba ingekuwaje aloo, , ila niwasihi tu mkifika mahali mkakuta wanawake wamekaa sehem msome kwanza mazingira wengine huwa wapo karibu na waume zao
Huyo dada ni malayer, hawezi kuwa na mume wake akakuchangamkia zaidi ya kukupa salam tuu haijalishi wamekaa siti tofauti
 
Back
Top Bottom