Mkeo na Mama yako mzazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkeo na Mama yako mzazi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sumbalawinyo, Jan 20, 2011.

 1. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Wana Jamii naomba kuuliza swali.
  Je wanaume wako tayari kuvumilia ukimtukania mama yake mzazi kuliko ukimtukania mkewe?
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Na unamtukana nini sasa? Umri kwanza wa huyo anayetukana na jinsia
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kila mmoja ana uchungu wake wa kutukaniwa uchungu wa mama hauwi sawa na wa mke.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,336
  Likes Received: 22,188
  Trophy Points: 280
  Kuna hili tusi la deshideshi ya mama yako, nadhani kila mtu kisha wahi kutukanwa, haliumi hata kidogo.
  Lakini ukienda mbali nitaifyeka shingo yako kwa kosa la kumtukana mama yangu.
  Mke wangu umtukane tu, nitakoroma kwa ajili ya upendo na kuonyesha kujali.
   
 5. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kweli we watofauti
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 195
  Trophy Points: 160
  Mama/Baba kitu kitu kingine bwana!!
  Mume waweza mtukana!!
  OR
  Kutukaniwa mama inaumza zaidi kuliko mke.
  :plane::plane:
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Matusi ni matusi tu, hayavumiliki kwa yeyote! Pia ulitaka kumaanisha nini kuanzisha hii thread Mkuu?
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tusi lolote halifai
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tusi ni tusi tu haijalishi katukanwa nani kwangu mm matusi yooote ni upotofu wa maadili,na inabidi ikemewe kabisa,watu hawa wote hawawezi kutukanywa kwa wakati mmoja,so kila mmoja ntamtetea kadri ya uwezo wangu!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tusi ni tusi no matter what
   
 11. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mijitu mingine sijui ikoje, unakurupuka huko utokako unaenda kuanza kuwashambulia wenzako na mitusi.
  Haipendezi na wala sio uungwana hata kidogo.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Si vizuri kutukaniwa ndugu yeyote!
   
Loading...