Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,059
- 79,416
MKEO AU MCHUMBA AKIKUACHA HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Ili mwanamke asikusumbue kuna kanuni nyingi lazima uzijue na uzitumie.
Mojawapo ya Kanuni hizo
1. Demand and Supply Law.
Hii uliisoma kwenye Commerce bila Shaka kidato cha pili. Kanuni hii haipo tuu kwenye Masuala ya biashara na uchumi. Bali inatumika pia kwenye Mahusiano ya Mapenzi na Ndoa.
Mwanaume lazima uhakikishe demand yako kwa Wanawake ni kubwa. Yaani wanawake wengi wanakuhitaji.
Kadiri wanawake wengi wanavyokuhitaji ndivyo heshima yako ndani ya ndoa inavyozidi kuwa kubwa.
Kuhitajika Sana hii inamaanisha thamani yako iko juu. Na wanawake hawanaga nguvu kwa Wanaume wenye thamani kubwa.
Jinsi ya kuwa Mwanaume mwenye thamani;
a) Mwili wenye afya na uliopangika kama Mwanaume.
Fanya utakavyofanya lakini kamwe usijeharibu mwili wako.
Mwili wenye nguvu,mwendo wa kujiamini, Sauti yenye Mamlaka ya Mwanaume mwenye akili anayejua anachozungumza. Sio uwe mjinga.
Hakikisha ukivaa nguo zinakukaa na kukuonyesha wewe ni mwanaume mwenye mvuto wa mwanaume sio mwonekano wa mwanaume aliyechoka, Mzee au Fukara.
b) Uwe na kipato cha uhakika.
Hii inatokana na kufanya Kazi. Hakikisha huutumii Muda wako kufanya vitu visivyo kujenga. Tafuta kuwa na nguvu ya kiuchumi lakini katika utafutaji huo usiathiri afya yako
Haitakuwa na maana yoyote Ile kuwa na Pesa alafu huna Afya Njema. Huna mwili wenye nguvu na uliojengeka kama mwanaume. Huna nguvu za kiume.
c) Uwe na maarifa, ufahamu na ujuzi wa mambo Mengi.
Sio lazima uende shule siku hizi mitandaoni kuna kila kitu.
Kina Taikon Tupo kuilisha Akili yako vitu uwe na ufahamu.
Soma vitabu, soma Makala, fuatilia documentary.
Hata uwe na pesa Kiasi gani kama wewe ni maamuma hakuna mwanamke atakayejivunia na kukuheshimu.
Wanawake na watu huheshimu wanaume wenye AKILI.
4. Maarifa ya Kiroho.
Unaweza ukawa na hayo matatu hapo juu lakini ukikosa maarifa ya Kiroho ni rahisi mambo madogomadogo hasa ya Mahusiano na Mkeo na watoto yakakusumbua pakubwa.
Utashangaa mtu kasoma, na msomi mzuri, anapesa, na anaafya Njema lakini anashindwa kuiongoza Familia yake. Mkewe na watoto wamemshinda.
Mtu huyo bila Shaka atakuwa na tatizo la msingi la kukosa maarifa ya Kiroho.
Afya Njema + Pesa + Elimu Dunia + Elimu ya Kiroho= Mwanaume mwenye Thamani
2. Kujua Saikolojia ya wanawake.
Ili Wanawake wasikusumbue lazima uwe master of the Games. Lazima ujue saikolojia Zao.
Ukishajua Saikolojia ya mwanamke ni kwamba wewe tayari ni mwanaume unayejitambua.
Kwa sababu mwanamke yupo ndani ya mwili wako hata kisayansi na kiimani IPO hivyo.
Kutojua mwanamke ni kwamba hujijui nusu yako nzima.
Hupaswi kumpenda mwanamke unconditionally. Na kama utampenda unconditionally Basi hutakiwi kuonyesha hivyo.
Ukiwa na mwanamke cheza wanavyocheza lakini tumia AKILI.
Mwanamke usimuonyesha na Wala asigundue hauna options zaidi yake. Atakusumbua.
Huwezi Mtawala mwanamke ambaye ameshajua unampenda kuliko na huna uwezo wa kuwa na mwanamke mwingine zaidi yake. Na wanawake wengine hawakutaki.
Usikubali kuonyesha Madhaifu yako mbele ya mwanamke.
Na Wala usikubali kuonyesha strengths zako zote mbele ya mwanamke. Strengths zingine ziache kama Ziada ya suprise siku akiondoka.
Strengths za MWANAUME ambazo hupaswi kuzionyesha zote;
1. Kipato chako.
Kama kiwango chako cha kipato ni Milioni Moja basi onyesha Laki sita yaani asilimia 60 tuu.
2. Uwezo wako WA kutatua matatizo.
Usiwe kiherehere wa kujifanya unajua kutatua matatizo harakaharaka. Kama unauwezo wa kutatua matatizo kwa asilimia 80% punguza asilimia 20% kisha onyesha 60%.
Kamwe usije onyesha uwezo wako wote mbele za MWANAMKE.
Samson kilimlamba.
Ingawaje Samoson alitumia Kanuni ya kujifanya Hana uwezo wa kutatua matatizo lakini Delila alimbana kwenye Kona akajikuta anaonyesha uwezo wake wote. Na hapo ndipo anguko lake lilipokuwa.
Kuna Muda mwanamke anaweza kukujaribu kujua uwezo wako wa ku-solve issues. Usipende sifa Sana.
Hata Mungu anaweza kukusaidia kila kitu lakini hafanyi hivyo Kiasi kwamba unakuwa na wasiwasi kwamba Hana huo uwezo. Hiyo kwa Sisi wanafalsafa ni Mbinu ya utawala na kuongeza heshima na uhitaji.
3. Usionyeshe uwezo na Mbinu zako zote katika utafutaji wa Mali.
Mwanamke akishagundua kuwa umefikia mwisho wa uwezo wako ndio huwa mwanzo wa kukudharau. Lakini pia KIUSALAMA kwako inakuwa haijakaa Sawasawa.
Wanawake huvutiwa na suprise. Na hujisalimisha kwa Wanaume wanaojua kutoa suprise kwao.
Utawasikia wakisema, aiseeh! Fulani kani-suprise KWELI. Sikutegemea kwamba angefanya hivi.
Suprise kwa mwanamke huichukulia kama uwezo Mkubwa ambao ulikuwa Nje ya Akili yake Kabisa.
4. Usionyeshe Siri zako za kihalifu au uovu Mkubwa mbele ya mwanamke.
Hata kwa umri upi. Kamwe usije ukafanya Uhuni wako huko. Tunajua Sisi wanaume kwenye utafutaji kunakuwa na Mambo Mengi. Ikitokea ukawa na Jambo kubwa la kihalifu au uovu Mkubwa kamwe Mkeo au mwanamke unayeishi naye asijue.
Kwako haitakuwa Salama.
Na utakuwa mtumwa wake.
Sitaki kuwachosha!
Nimetoa maelezo hayo ili nitoe hoja za mambo ya kufanya pale Mkeo au Mchumba wako anapokuwa amekuacha;
1. Kamwe usimzuie Mwanamke anayetaka kukuacha.
Kwa Sisi Watibeli mwanamke hata akitania au akipitiwe kusema atatuacha au anatuacha tunavunja uhusiano siku hiyohiyo.
Watibeli kuna maelfu na maelfu ya wanawake wazuri, wasafi, wenye vipato wanaoomba kila siku kwa Mungu watupate. Hivyo hatuwezi kuwa na mwanamke anayetaka kutuacha hata kwa dakika Moja. Tunaheshimu maamuzi ya huyo Mwanamke.
Ni kosa kubwa kijana utalifanya kumlazimisha mwanamke ambaye hakutaki. Hata kama mnawatoto ishirini. Kama hakutaki piga chini.
2. Usioe Wala kuwa na mwanamke mwingine kwa Muda angalau Miaka mitatu.
Endelea na mambo mengine. Hiyo haimaanishi hautapata huduma ya Ngono.
Wapo wanawake maelfu kwa maelfu unaweza kuwanunua kwa Mafungu kama Nyanya wakakutuliza Hamu zako.
Kamwe usichukue Mke wa Mtu labda awe kwenye Masoko ya kujiuza huko. Hilo halitakuwa kosa Lako
3. Kama amekuacha wewe na mnawatoto asikupangie matumizi ya watoto.
Akikupeleka serikali au vyombo vyovyote toa Msimamo wako. Kwamba uwezo wa kuhudumia watoto wako wakiwa mbali na wewe hautalingana na ule ukiwa nao karibu.
4. Hakikisha Unakua na kuimarika kwenye idara zile muhimu.
Mwanamke anapokuacha atataka kujithibitishia na kuthibitishia watu kuwa uamuzi aliouchukua ulikuwa sahihi hivyo atatamani kuona haukui, hauimariki kiuchumi na kiafya au kwenye Jambo lolote
Hii itamfanya ajisikie NAFUU na kusema mbele za watu yeye ndiye alikuwa na Nyota na alikuwa anakupiga tafu.
Ndio maana Taikon Master nimekuambia ni lazima ukue kiuchumi, kiakili, mwili na afya yako iimarike.
Ukikua na kuimarika hii itamuweka sehemu mbaya na kujiona yeye ndiye alikuwa na Mkosi na jamii itaona hivyo Jambo ambalo kwake litakuwa pigo kubwa la kimedani.
Ndugu yangu, hupaswi ukiachwa au kuachana uende kunywa mapombe yakuumize, haupaswi kufanya ngono zembe nope!
Ili uimarike na kukua utatumia maelezo niliyoyatoa juu Kule, katika pointi inayofuata;
5. Tumia Mbinu, uwezo na maarifa na kipato ambacho hukumuonyesha kujiimarisha na kukua.
Kama ulionyesha uwezo na maarifa na kipato chote ni hakika itakuwia vigumu kukua na kuimarika maana tayari grafu yako ilikuwa kwenye peak.
Umeachwa sasa ndio ule Muda WA kutumia Yale ambayo hakujua unayo. Uwezo uliokuwa nao ambao haukuuonyesha ndio Muda wake huo.
Kipato au miradi uliyokuwa nayo uliyomficha ndio Muda wa kuidhihirisha Mmoja baada ya mwingine kwa mahesabu sio yote kwa pamoja.
Kisha baada ya Miaka kadhaa, tafuta kisichana kazuri kadogodogo,
Kwa Sisi Watibeli tunachukua Bikra Safi Kabisa kama alivyokuwa yeye (Mke wa Awali).
Usijichukulie ilimradi. Onyesha wewe ni mwanaume wa thamani unayestahili vitu vipya na vizuri.
Wazee wako na mababu zako watakuwa very proud juu yako.
Nawe ukifa utakuwa Legend.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon Master.
Kwa sasa Dar es salaam