lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
Peopleeeeeeees!!!!!!!!!
Wakubwa zangu shikamooni!
Hivi inakuwaje ukigombana na mkeo anatoka mkuku kwenda ofisini kukushtaki kwa ugomvi wa nyumbani? Basi amkute bosi cha umbea kama Bosi Wangu, shitaka linasikilizwa in details zaidi ya mahakama!
Wewe mtu ushawekwa ndani au ushamuweka mkeo ndani, yet unakuwa hujiamini amini, WHY? Kama ushindi point tatu muhimu ushachukua kitambo ila bado roho inakutoka kwa vitu vidogo!!!!!
Mimi hapa ofisini kuna kijana kaoa 2011 mwanzoni nilikuwa simjui hanijui, tumekutana hapa hapa! Kutokana na mimi kuwa zee la mishe za ukwee inatokea watu tu wanakuwa wakarimu kwangu na kudeclare msimamo wao wa mrengo wa kushoto jst incase anything comes up nisione soo kuwastua! Watu wa jinsia zote!
Huyu baba flani bwana anakaa madongokuinama huko ndani ndani sasa kila siku alikuwa anapunch mida mibovu/Kachelewa na kutoka anawahi, so Over Time ikabidi asahau kabisa, plus warning ya kumtaka kurekebisha mahuzurio, hadi alipostukia mishe yangu ya kuchakachua punching sytem ili nilale kwa raha plus OT nakaba vile vile! Akaja kuniomba sanaa nimunge kwenye magumash yangu, nikagomaaa nikamwambia acha uvivu amka saa tisa wahi job!!!!! Taifa liakutegemea!
Kanganganiaaaa maisha magumu, ada sina blah blah blah nikamuonea huruma mwanae nikamkubalia! Sheria ni moja tu akiwa anachelewa ana ni text usiku! Basi akawa ananitext hivi " Nashukuru kwa yote Kesho kama kawaida yale mambo yetu" ili kuepuka kuchakachua afu nae akaja kupunch! Mi nikiona namake the impossible happen Baaaaaaaaaaaass sina uhusiano nae wowote!
Kumbe mkewe zile sms anazionaga bwana sasa sijui kawaza nini, si kaja ofisini kunishtaki kwa bosi natembea na mumewe!!!!!!!!!!! Khaaaaaaaa! Kwanini umuwazie mumeo negative negative mda wote? SMS ndo ushahidi wake ! Bosi ananilazimisha nimuombe msamaha! Nimegoma coz sio kweli, kuomba msamaha ni kukiri na kujutia kosa. Mi kosa langu labda kumsaidia mumewe! Tumelumbanaaa bosi kachemka kapeleka shauri HR ndo nangojea disciplinary hearing niitwe! Mambo ya kukubali kuua soo, dunia ndongo hamad nimekuwa Mbunge ananitoa kwenye media nimetembea na mumewe afu nimekiri kwa mdomo na mashaidi wapo!!!!!! Thubutuuuuuuuuuu!
Baba flani yeye anagwaya gwaya tu kuniomba msamaha kwa yote!!!!! Discipline ya wife for crying out loud! Unashindwa kumconrtol mkeo hadi analeta mabo ya ndoa ofisini!!!!!!!!! Damn! "Fadhila mfadhili mbuzi utamnywaa mchuziii binadamu wana mauzi!!!!!!"