Mkeo Anapoamua Kukushtaki Ofisini kwa Ugomvi wa Nyumbani (Nimeshtakiwa Mwenzenu!)


lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Messages
15,623
Points
2,000
lara 1

lara 1

JF-Expert Member
Joined Jun 10, 2012
15,623 2,000
Peopleeeeeeees!!!!!!!!!

Wakubwa zangu shikamooni!

Hivi inakuwaje ukigombana na mkeo anatoka mkuku kwenda ofisini kukushtaki kwa ugomvi wa nyumbani? Basi amkute bosi cha umbea kama Bosi Wangu, shitaka linasikilizwa in details zaidi ya mahakama!

Wewe mtu ushawekwa ndani au ushamuweka mkeo ndani, yet unakuwa hujiamini amini, WHY? Kama ushindi point tatu muhimu ushachukua kitambo ila bado roho inakutoka kwa vitu vidogo!!!!!

Mimi hapa ofisini kuna kijana kaoa 2011 mwanzoni nilikuwa simjui hanijui, tumekutana hapa hapa! Kutokana na mimi kuwa zee la mishe za ukwee inatokea watu tu wanakuwa wakarimu kwangu na kudeclare msimamo wao wa mrengo wa kushoto jst incase anything comes up nisione soo kuwastua! Watu wa jinsia zote!

Huyu baba flani bwana anakaa madongokuinama huko ndani ndani sasa kila siku alikuwa anapunch mida mibovu/Kachelewa na kutoka anawahi, so Over Time ikabidi asahau kabisa, plus warning ya kumtaka kurekebisha mahuzurio, hadi alipostukia mishe yangu ya kuchakachua punching sytem ili nilale kwa raha plus OT nakaba vile vile! Akaja kuniomba sanaa nimunge kwenye magumash yangu, nikagomaaa nikamwambia acha uvivu amka saa tisa wahi job!!!!! Taifa liakutegemea!

Kanganganiaaaa maisha magumu, ada sina blah blah blah nikamuonea huruma mwanae nikamkubalia! Sheria ni moja tu akiwa anachelewa ana ni text usiku! Basi akawa ananitext hivi " Nashukuru kwa yote Kesho kama kawaida yale mambo yetu" ili kuepuka kuchakachua afu nae akaja kupunch! Mi nikiona namake the impossible happen Baaaaaaaaaaaass sina uhusiano nae wowote!

Kumbe mkewe zile sms anazionaga bwana sasa sijui kawaza nini, si kaja ofisini kunishtaki kwa bosi natembea na mumewe!!!!!!!!!!! Khaaaaaaaa! Kwanini umuwazie mumeo negative negative mda wote? SMS ndo ushahidi wake ! Bosi ananilazimisha nimuombe msamaha! Nimegoma coz sio kweli, kuomba msamaha ni kukiri na kujutia kosa. Mi kosa langu labda kumsaidia mumewe! Tumelumbanaaa bosi kachemka kapeleka shauri HR ndo nangojea disciplinary hearing niitwe! Mambo ya kukubali kuua soo, dunia ndongo hamad nimekuwa Mbunge ananitoa kwenye media nimetembea na mumewe afu nimekiri kwa mdomo na mashaidi wapo!!!!!! Thubutuuuuuuuuuu!

Baba flani yeye anagwaya gwaya tu kuniomba msamaha kwa yote!!!!! Discipline ya wife for crying out loud! Unashindwa kumconrtol mkeo hadi analeta mabo ya ndoa ofisini!!!!!!!!! Damn! "Fadhila mfadhili mbuzi utamnywaa mchuziii binadamu wana mauzi!!!!!!"
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,609
Points
2,000
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,609 2,000
Pole lara 1 !
 
Last edited by a moderator:
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Messages
1,272
Points
1,225
snochet

snochet

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2011
1,272 1,225
marahabaaaa,unalo leo imekuwa black monday tayari,kirampass hicho,vunga,kama vipi kuwa mbogo kwa kila mtu,and make your point bila kuharibu mishe,washatibua mood ya kubwa la maadui,sasa we waambie tu unaomba ukapumzike,ukikubali tu kimekula kwako,na boss kama anatamanigi na yeye atataka agongee japo kidunchu,kataa,ruka kila kitu,alafu kata mazoea na hilo lidingi.....asee lara hapo ofisini kwenu,ni hipopotamus.....***nafuatilia thread kwa mbaaaali.......nijionee majibu
 
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
1,561
Points
1,195
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
1,561 1,195
Hahahahaaaaaaaaaaa! duh ! Kubwa la maadui leo umepatikana shoga, kama nakuona
Maana hiyo inatokea kama Nyota yajaa! Duh ! POLE SANA SHOST maana huyo mwanamke hajui kama anamuharibia mumewe. Alitakiwa akae na mumewe ili amueleweshe ni kwa nn anakuandikia sms.
 
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Messages
28,267
Points
2,000
Eiyer

Eiyer

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2011
28,267 2,000
Sijui nikupe pole?Au ngoja nikupe pongezi!
"
Nakupongeza kwa kuwa ukipita hapo utajifunza namna ya kuwasiliana na watu.
"
Kuna tofauti kati ya mawasiliano na mama,baba,mke n.K.
"
Jambo hilo ulitakiwa ulikemee ili abadili namna ya kuandika sms.
"
Ila nina wasiwasi,unaweza kuamua kumwaga ugali kiukweli baada ya kutuhumiwa kufanya hivyo wakati hujafanya!
 
Tamatheo

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
3,287
Points
1,500
Tamatheo

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
3,287 1,500
Mapenzi ni matamu kama yana wivu ndani yake...Wivu huo huo ukizidi ni utumwa ktk mapenzi...Huyo dada anasumbuliwa na wivu wa kijinga unaomfanya ashindwe kujiamini...Njia aliyotumia akifikiri amepatia ndio njia mbaya zaidi kwani kamdhalilisha mmewe na kisa hiki kitakuwa donda moyoni mwake kwa muda mrefu na mapenzi lazima yatadidimia. Pole kwa mkasa ila hapo iwe ni changamoto kwa wengi kujifunza kwani ulikuwa unamsaidia kiroho safi na umekumbana na masahibu.......Ila kwa wastaarabu mambo ya kazini kwa mke au mme sio ya kuingiliwa sana kwani kama alihisi jambo ilimpata kutumia njia nyingine kujiridhisha wala sio alivyofanya upumbavu na ujinga.
 
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2012
Messages
684
Points
195
Age
27
prianka

prianka

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2012
684 195
pole shost huyo mwanamke naye mbona hajiamini looooo
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,510
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,510 2,000
Weeee, nani kakuambia uwe unajichanganya na MANDEGE UYOLE?Ona sasa, jumba bovu limekumiminikia
Peopleeeeeeees!!!!!!!!!Wakubwa zangu shikamooni!Hivi inakuwaje ukigombana na mkeo anatoka mkuku kwenda ofisini kukushtaki kwa ugomvi wa nyumbani? Basi amkute bosi cha umbea kama Bosi Wangu, shitaka linasikilizwa in details zaidi ya mahakama!Wewe mtu ushawekwa ndani au ushamuweka mkeo ndani, yet unakuwa hujiamini amini, WHY? Kama ushindi point tatu muhimu ushachukua kitambo ila bado roho inakutoka kwa vitu vidogo!!!!!Mimi hapa ofisini kuna kijana kaoa 2011 mwanzoni nilikuwa simjui hanijui, tumekutana hapa hapa! Kutokana na mimi kuwa zee la mishe za ukwee inatokea watu tu wanakuwa wakarimu kwangu na kudeclare msimamo wao wa mrengo wa kushoto jst incase anything comes up nisione soo kuwastua! Watu wa jinsia zote!Huyu baba flani bwana anakaa madongokuinama huko ndani ndani sasa kila siku alikuwa anapunch mida mibovu/Kachelewa na kutoka anawahi, so Over Time ikabidi asahau kabisa, plus warning ya kumtaka kurekebisha mahuzurio, hadi alipostukia mishe yangu ya kuchakachua punching sytem ili nilale kwa raha plus OT nakaba vile vile! Akaja kuniomba sanaa nimunge kwenye magumash yangu, nikagomaaa nikamwambia acha uvivu amka saa tisa wahi job!!!!! Taifa liakutegemea!Kanganganiaaaa maisha magumu, ada sina blah blah blah nikamuonea huruma mwanae nikamkubalia! Sheria ni moja tu akiwa anachelewa ana ni text usiku! Basi akawa ananitext hivi " Nashukuru kwa yote Kesho kama kawaida yale mambo yetu" ili kuepuka kuchakachua afu nae akaja kupunch! Mi nikiona namake the impossible happen Baaaaaaaaaaaass sina uhusiano nae wowote! Kumbe mkewe zile sms anazionaga bwana sasa sijui kawaza nini, si kaja ofisini kunishtaki kwa bosi natembea na mumewe!!!!!!!!!!! Khaaaaaaaa! Kwanini umuwazie mumeo negative negative mda wote? SMS ndo ushahidi wake ! Bosi ananilazimisha nimuombe msamaha! Nimegoma coz sio kweli, kuomba msamaha ni kukiri na kujutia kosa. Mi kosa langu labda kumsaidia mumewe! Tumelumbanaaa bosi kachemka kapeleka shauri HR ndo nangojea disciplinary hearing niitwe! Mambo ya kukubali kuua soo, dunia ndongo hamad nimekuwa Mbunge ananitoa kwenye media nimetembea na mumewe afu nimekiri kwa mdomo na mashaidi wapo!!!!!! Thubutuuuuuuuuuu!Baba flani yeye anagwaya gwaya tu kuniomba msamaha kwa yote!!!!! Discipline ya wife for crying out loud! Unashindwa kumconrtol mkeo hadi analeta mabo ya ndoa ofisini!!!!!!!!! Damn! "Fadhila mfadhili mbuzi utamnywaa mchuziii binadamu wana mauzi!!!!!!"
 
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Messages
4,282
Points
0
Nicole

Nicole

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2012
4,282 0
hahahahah ngoja niwahi tauni kuna mishe nimeitwa na msela....afu naye mume wa mtu, haya mambo ya kusaidia waume za watu ni soooo...ntarudi kutoa mtazamo wangu...pole lara 1...................
 
Last edited by a moderator:
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
8,132
Points
2,000
platozoom

platozoom

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
8,132 2,000
Ongea na mkewe......umeshaharibu tayari
Au ulikuwa unamega ka-salary ka mzee................Ukute mkewe analilia mengi!!
 
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
3,738
Points
1,225
Jiwe Linaloishi

Jiwe Linaloishi

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
3,738 1,225
jamaa ni mdhaifu, yeye alitakiwa amwambie ukweli mke wake pengine angeelewa na asingekuja mpaka ofisini, haya masimu usipoyawekea miiko ndio shida yake. ndio maana wengine tumeyatwanga password hata kama hakuna mabaya tunayofanya lakini kujilinda na hisia potofu kama hizo zinazoweza kukuharibia dili.
 
D

DCM

Senior Member
Joined
Apr 13, 2012
Messages
165
Points
225
D

DCM

Senior Member
Joined Apr 13, 2012
165 225
Wanawake wengine huwa busara zimewapitia pembeni sana,unawezaje kujiexpose kiasi hicho!Na jamaa kwanini ameshindwa kumdhibiti mkewe kiasi hicho au ndio zile nyumba ambazo mama anakauli zaidi na baba hana la kusema?Mi naona hapo huyo mama anaharibu ndoa yake pasipo kuelewa!
 
Makene

Makene

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,478
Points
1,195
Makene

Makene

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,478 1,195
some stories are like jigsaw puzzle.
Unless rearanged I don't get the point in it.
 
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
15,776
Points
2,000
snowhite

snowhite

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
15,776 2,000
af hizi issue za home hizi kupelekena ofisini hizi mara nyingi huwa zinaharibu kuliko kujenga!
mara nyingi!
KWA UZOEFU WANGU!wa mujhini apa!
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,157
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,157 2,000
Pole mwaya bahat hakukuface direct kwanza maana kama nakujua mchambo ambao ungempa
mi hiyo ilitokeaga na just mlinzi wa ofisini eti wanapiga simu na kimkewe
nilitukana wote wawili kesho mlinzi anakuja anachekacheka
mijanamke mingine bwana pia na wanaume hawana msimamo
mwaka huu ni wako lara 1 kiofisi loo
 
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2009
Messages
6,163
Points
2,000
Ndumbayeye

Ndumbayeye

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2009
6,163 2,000
some stories are like jigsaw puzzle.
Unless rearanged I don't get the point in it.

alivoandika inaonesha mtu mwenyewe macheche, stori nzuri. umeiandika kimjinimjini
 
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
31,005
Points
2,000
BADILI TABIA

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
31,005 2,000
hao mke na mume hawana communications?
 
Rada

Rada

Senior Member
Joined
Feb 29, 2012
Messages
123
Points
195
Rada

Rada

Senior Member
Joined Feb 29, 2012
123 195
Wewe na maujanja yako yote unatoka wapi na vizee ambavyo haviko makini?
Siku nimeoa halafu tunakosana na wife eti anakimbilia ofisini kuja kunishtaki, ahesabu its over! damn!!
 
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Messages
4,528
Points
0
Mchaka Mchaka

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2010
4,528 0
umefikiia hatua ya kuniita "BOSI MMBEA" Tuataonana kesho ofisini.
 
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,179
Points
2,000
Zogwale

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,179 2,000
jianamke la namna hii nalichapa talaka sita (6). Ila pia nalo ni tatizo la kuoa school drop outs!! Reasoning ni sifuri!! Wewe unaendaje kustaki mume au mke kwa bosi wake wakati unajua kabisa mke/mumeo anatakiwa akue kikazi? Yaani ningempata mke wa design hii angenikoma!! Lara 1 hakuna cha kuomba msamaha wala nini? Aje atoe ushahidi wa jinsi uligegedana na mumewe!! Yaani hata sms tu? chinjia mbali, tene mwambie na huyo chaliii kuwa awe makini utamchinjia baharini kama mkewe analeta sooo!! Akayamalize kabisa, tena mkewe aje aombe msamaha kuwa alidhani tu kumbe siyo!! Alaaa.
 

Forum statistics

Threads 1,283,494
Members 493,716
Posts 30,791,617
Top