Mkeo Anapoamua Kukushtaki Ofisini kwa Ugomvi wa Nyumbani (Nimeshtakiwa Mwenzenu!)

mizee kama hiyo ndo ile inayo submitt mishahara (salary slip) kwa wake zao. anaachwa bila ya pesa ya lager. wewe lara 1 kwann unasaidia majitu ya mwaka 47. kwanza huyo mzee ukikorofishana nae kidogo tu, atakuchoma. usipende kufunguka ktk magumashi yako ya ofisini. binadamu hatupendani especially around work places.
 
some stories are like jigsaw puzzle.
Unless rearanged I don't get the point in it.

Hizo ndiyo aina ya story za watotowa mujini!! Wana lugha zao za fasihi simulizi siku hizi!! Wewe kama bado uko ile fasihi ya zamani kama mimi basi huambulii chochote. Mimi nimeamua tu kwenda na wakati inabidi nipite vijiwe vya kahawa jioni na weekend angalao kujifunza!! Ha ha ha!!
 
marahabaaaa,unalo leo imekuwa black monday tayari,kirampass hicho,vunga,kama vipi kuwa mbogo kwa kila mtu,and make your point bila kuharibu mishe,washatibua mood ya kubwa la maadui,sasa we waambie tu unaomba ukapumzike,ukikubali tu kimekula kwako,na boss kama anatamanigi na yeye atataka agongee japo kidunchu,kataa,ruka kila kitu,alafu kata mazoea na hilo lidingi.....asee lara hapo ofisini kwenu,ni hipopotamus.....***nafuatilia thread kwa mbaaaali.......nijionee majibu

We acha tuuuuu! Ofisi hii kila siku watu wana acha kama sio kuzira kazi!!!!!!!!! Nashauri ubosi uanzie 40years bila hivo ukubwa dawa unakuwa hauko kabisaaa!
 
mizee kama hiyo ndo ile inayo submitt mishahara (salary slip) kwa wake zao. anaachwa bila ya pesa ya lager. wewe lara 1 kwann unasaidia majitu ya mwaka 47. kwanza huyo mzee ukikorofishana nae kidogo tu, atakuchoma. usipende kufunguka ktk magumashi yako ya ofisini. binadamu hatupendani especially around work places.

Bwana weeeeeee! Mtu kujitia mwema ndo kama hivi! Sasa unadhani bwana angu akisikia kashfa kama hizi si deal breaker kabisaaaa hiii!
 
marahabaaaa,unalo leo imekuwa black monday tayari,kirampass hicho,vunga,kama vipi kuwa mbogo kwa kila mtu,and make your point bila kuharibu mishe,washatibua mood ya kubwa la maadui,sasa we waambie tu unaomba ukapumzike,ukikubali tu kimekula kwako,na boss kama anatamanigi na yeye atataka agongee japo kidunchu,kataa,ruka kila kitu,alafu kata mazoea na hilo lidingi.....asee lara hapo ofisini kwenu,ni hipopotamus.....***nafuatilia thread kwa mbaaaali.......nijionee majibu

Bwana weeeeee! Haya ndo mambo yanaweza kukucost bila sababu, hivi yule bwana wangu mchagga yule akisikia si itakuwa sooooo! Sipati picha!
 
Pole mwaya bahat hakukuface direct kwanza maana kama nakujua mchambo ambao ungempa
mi hiyo ilitokeaga na just mlinzi wa ofisini eti wanapiga simu na kimkewe
nilitukana wote wawili kesho mlinzi anakuja anachekacheka
mijanamke mingine bwana pia na wanaume hawana msimamo
mwaka huu ni wako lara 1 kiofisi loo

We acha tu, na watu wanavopenda umbea, kutumiana sms tu, huku wananikodolea mijicho looooo! Hamna dogo humu, yote makubwa!
 
Pole sana, inaonekana huyo mwanamke hafanyi kazi za maofisinu hivyo inakuwa ngumu kuelewa. U r rite usiombe msamaha kwn itakuwa umekubali kosa
 
Peopleeeeeeees!!!!!!!!!

Wakubwa zangu shikamooni!

Hivi inakuwaje ukigombana na mkeo anatoka mkuku kwenda ofisini kukushtaki kwa ugomvi wa nyumbani? Basi amkute bosi cha umbea kama Bosi Wangu, shitaka linasikilizwa in details zaidi ya mahakama!

Wewe mtu ushawekwa ndani au ushamuweka mkeo ndani, yet unakuwa hujiamini amini, WHY? Kama ushindi point tatu muhimu ushachukua kitambo ila bado rIoho inakutoka kwa vitu vidogo!!!!!

Mimi hapa ofisini kuna kijana kaoa 2011 mwanzoni nilikuwa simjui hanijui, tumekutana hapa hapa! Kutokana na mimi kuwa zee la mishe za ukwee inatokea watu tu wanakuwa wakarimu kwangu na kudeclare msimamo wao wa mrengo wa kushoto jst incase anything comes up nisione soo kuwastua! Watu wa jinsia zote!

Huyu baba flani bwana anakaa madongokuinama huko ndani ndani sasa kila siku alikuwa anapunch mida mibovu/Kachelewa na kutoka anawahi, so Over Time ikabidi asahau kabisa, plus warning ya kumtaka kurekebisha mahuzurio, hadi alipostukia mishe yangu ya kuchakachua punching sytem ili nilale kwa raha plus OT nakaba vile vile! Akaja kuniomba sanaa nimunge kwenye magumash yangu, nikagomaaa nikamwambia acha uvivu amka saa tisa wahi job!!!!! Taifa liakutegemea!

Kanganganiaaaa maisha magumu, ada sina blah blah blah nikamuonea huruma mwanae nikamkubalia! Sheria ni moja tu akiwa anachelewa ana ni text usiku! Basi akawa ananitext hivi " Nashukuru kwa yote Kesho kama kawaida yale mambo yetu" ili kuepuka kuchakachua afu nae akaja kupunch! Mi nikiona namake the impossible happen Baaaaaaaaaaaass sina uhusiano nae wowote!

Kumbe mkewe zile sms anazionaga bwana sasa sijui kawaza nini, si kaja ofisini kunishtaki kwa bosi natembea na mumewe!!!!!!!!!!! Khaaaaaaaa! Kwanini umuwazie mumeo negative negative mda wote? SMS ndo ushahidi wake ! Bosi ananilazimisha nimuombe msamaha! Nimegoma coz sio kweli, kuomba msamaha ni kukiri na kujutia kosa. Mi kosa langu labda kumsaidia mumewe! Tumelumbanaaa bosi kachemka kapeleka shauri HR ndo nangojea disciplinary hearing niitwe! Mambo ya kukubali kuua soo, dunia ndongo hamad nimekuwa Mbunge ananitoa kwenye media nimetembea na mumewe afu nimekiri kwa mdomo na mashaidi wapo!!!!!! Thubutuuuuuuuuuu!

Baba flani yeye anagwaya gwaya tu kuniomba msamaha kwa yote!!!!! Discipline ya wife for crying out loud! Unashindwa kumconrtol mkeo hadi analeta mabo ya ndoa ofisini!!!!!!!!! Damn! "Fadhila mfadhili mbuzi utamnywaa mchuziii binadamu wana mauzi!!!!!!"
yaani wanawake wengine wana wivu wa kijinga .self confidence is the way to go.mshitaki mahakamani for defamation halafu 1 billion shillings atakoma mwenyewe.mtushie
 
lara hata usipoomba msamaha huyo mke ana haki ya kujua hayo mambo yenu na mumewe, sentensi ile tata aisee mjitahidi tu kumuelewesha na mtafute mbinu nyingine za kupeana taarifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom