Mkeo anajivunia nini juu yako?

Plumber yeye, electrician yeye, mkulima, mfugaji, muimbaji, commandoo yani ni mtu ninayeweza mtegemea.
Ninadeka kwa mama, kwake na kwa mwanangu yaani hadi raha. Nazidi kuwa a spoiled brat.

You deserve to be spoiled babe..
 
Daaaahhh!!!!!! naogopa kwnd motoni bhn bt mhhhhh!!!!!!! x mchezo hd naomba maji ya kunywa
 
Najivunia brain na positive mind yake. Mpiganaji wa kweli. Anajitambua na ananipenda. I love my booboo;)
 
Najivunia brain na positive mind yake. Mpiganaji wa kweli. Anajitambua na ananipenda. I love my booboo;)

..ni mume au......?
manake siku hizo baada ya wiki mbili watu huitana mume na mke. Lol(joke)
 
Demu wangu huwa ana penda jinsi ninavyo tembea kwakuwa sifanani na mtu mwingine hicho huwa kinamfanya ajione yuko juu.
 
My baby anajivunia vingi sana kutoka kwangu,Friji ikizingua natengeneza, cm ikimzingua naitengeneza gari hivohivo bas kitu chochote kinachotumia umeme kikizingua huwa anawaambi wtt msubirini baba yenu
 
Back
Top Bottom