kwan kuna mtu kasingiziwa mkuu?? mi nampongeza maana kaleta tukio na vidhibitisho kamili!!!!! na sio siasa...Thread ingekuwa nzuri kama usinge toa picture ya huyo mwanamke.
Mkuu kilio kikitokea kwenu kinakuwa kichungu, kuliko kikitokea kwa wengine.kwan kuna mtu kasingiziwa mkuu?? mi nampongeza maana kaleta tukio na vidhibitisho kamili!!!!! na sio siasa...
Mkuu kilio kikitokea kwenu kinakuwa kichungu, kuliko kikitokea kwa wengine.
Nadhani umenipata, au kama hujanipata bado takuwekea wazi mana huwa sipendi kuwacha watu wabaki na ujinga, lazima niwafahamishe.
Kuna msemo nilimsikia babu akisema, kila binadamu anazo kasoro tu kama anajiona hana kasoro, basi kuna siku na yeye atatangaziwa kasoro zake, mbele za watu :biggrin1:Kha misemo kama Tambalizeni au Mpoto! Hatujatoka ujinga ebu tuyoe !Kimetokea kwenu?
Inasadikia kuwa kuna mambo fulani hayapaswi kufanywa na jinsia fulani. Ni vitu visivyotarajiwa kwa Mwanamke kulewa chakali mpaka kufikia kulala mbele za watu au kujikojolea. Je, hii inaleta taswira gani katika jamii iwapo una mahusiano au umeoa mke ambae viwango vyake vya tabia vinafikia huku???
Huyu ni mwanamke aliyekutwa akiwa hoi baada ya kunywa pombe kupita kiasi.....
Sakata hili ambalo lilitokea katika party ya rafiki yake lilizua gumzo kubwa baada ya mrembo huyu kujikojolea. Mwanzo alionekana akiwa ni mtu mwenye furaha na mchangafu.Baada ya pombe kumwelemea, binti huyu alijisogeza pembeni na kujilaza na ndipo aibu ya kujikojolea ilipomkumba.http://freebongo.blogspot.com/2013/01/binti-ajikojolea-baada-ya-kunywa-pombe.html

well said....ila si anajua ukinywa sana nini kinafwata!!!!....kwanini asingekunywa kiasi??? nimekwelewa!!Mkuu kilio kikitokea kwenu kinakuwa kichungu, kuliko kikitokea kwa wengine.