Sharp Observer
Member
- Apr 11, 2011
- 59
- 41
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye facebook na boy friend wake wa kwanza (aliyemtoa nanihii..., nadhani wakubwa mmeelewa).
Jamaa issue imemchanganya sana japo hajui kinachoendelea. Kaniomba ushauri nami nikaona kabla ya kumshauri (guidance or counciling) nipate mawazo yenu.
Wewe issue hii ungeichukuliaje, au ungechukua hatua gani?
Naomba mawazo yenu wala si kupotezeana!
Nawakilisha
Teh teh teh....poleni mlioko kwenye ndoa.
Internet ni balaa katika mahusiano. Hakuna kuaminiana tena.
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye facebook na boy friend wake wa kwanza (aliyemtoa nanihii..., nadhani wakubwa mmeelewa).
Jamaa issue imemchanganya sana japo hajui kinachoendelea. Kaniomba ushauri nami nikaona kabla ya kumshauri (guidance or counciling) nipate mawazo yenu.
Wewe issue hii ungeichukuliaje, au ungechukua hatua gani?
Naomba mawazo yenu wala si kupotezeana!
Nawakilisha
sijajua unataka mawazo ya nini..cause i don see any problem

Soma hiyo red............. Kwani facebook ni kitanda? Mbona hahoji marafiki wengine wa kwenye facebook............. As always masculinity hegemony of we men............ Aseme kama kwenye facebook page ya demu wake amekuta recent snaps wakiwa wanavinjari zinazoashiria they are dating...... Otherwise, hata huyo mshikaji naamini bado anaurafiki na his Ex's..........
Wanakwetu habari zaidi. Ni mara ya kwanza kuwepo jukwaa hili baada ya muda mrefu wa kuwa observer tu bila kuchangia.
Jamaa yangu wa karibu kaja na lake jambo. Amekuta mkewe ana urafiki kwenye facebook na boy friend wake wa kwanza (aliyemtoa nanihii..., nadhani wakubwa mmeelewa).
Jamaa issue imemchanganya sana japo hajui kinachoendelea. Kaniomba ushauri nami nikaona kabla ya kumshauri (guidance or counciling) nipate mawazo yenu.
Wewe issue hii ungeichukuliaje, au ungechukua hatua gani?
Naomba mawazo yenu wala si kupotezeana!
Nawakilisha
Na yeye aanzishe uhusiano na ex wake, balanced story.
umeona eeh!!!!!!!! ilimradi thread mtu katoa!!!
nimesha ku block kwa facebook,yasije yakanikuta haya....l.o.l
si kweli kabisaaaaa!!!!!!!!!!!!