Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,242
- 7,015
After wakenya walitengeneza memes nyingi za yule msee alidandia chopa kule bungoma... sasa kuna game inaitwa bungoma hangman..... at first niliposkia hii story nilithani ni jokes....nime download kutoka Google play store na imebibamba .....
Tafuta Wi-Fi udownload hio game na uijaribu
Tafuta Wi-Fi udownload hio game na uijaribu