Mkenya ashtakiwa na mauaji ya kibibi Seattle!!!!.

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,216
Federal Way police: Suspect's DNA found under fingernails of slain woman, 75

Bail was set at $1 million Saturday for a 24-year-old nursing assistant who is being held on suspicion of strangling a 75-year-old woman after she left a Federal Way nursing home last month.
 
....ndio yale yale ya kina mponjoli! dih, noma sana....lakini inaonekana kama kesi ni weak kidogo!!
msee Ab, kuwa basi una uptodate juu ya hii kesi....asante.

Huyu Bwana inaonekana lawyer wake atamtetea na ishu kwamba he
was the family care giver na ndio sababu hio DNA ikapatikana kwenye
kucha za huyo bibi.It will be tight na naomba jamaa awe na makaratasi
poa maana atakua chambo kiulaini...even if he
manages to wiggle out, watam-deport tu!

Nitajaribu kuifutilia na kushusha updates as we go.Its an unfortunate situation kwa mtafutraji aisee!!
 
...tatizo huyu mama marehemu ni visitor tu, hivyo caregivers na visitors contacts zao zipo limited na ni almost impossible kwa materials zozote zenye DNA za caregiver kuwa kwa visitor!!! tatizo lingine card ya Costico ya mume wa marehemu ilikuwa inafanya nini kwenye wallet ya jamaa!!??

ni maswali kama hayo.......

Maswali magumu hayo!
Kweli hapa iko kazi...hii ngumu sana na jamaa anachungulia
lupango ile noma!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom