Mkemia natafuta kazi

Mkemia natafuta kazi

Mchemiaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
174
Reaction score
189
wakuu habari zenu wakuu
Mchemia natafuta kazi

Nmesoma barchelor of science in chemistry nakumaliza nkiwa na ufaulu mzuri(2014-2017)

kazi nazoweza kufanya:
1.Quality assuarence/control
2.Labaratory technisian ikiwa ni pamoja na kumeasure parameter zozote field(machimbo ya madini)
3.inspector

najua hapa jamvini kuna watu wengi wenye viwanda na maabara nyingi kama unaweza kunisaidia kupata connection kijana mwenzako ntashukuru sana.

Hata kama huna kazi pia hata mawazo yako ukinipa ntashukuru.

npo Dodoma kwa sasa.
 
Mkuuu unasubir uajiriwe???au unatafta kazi???kwel elim imekuandaa kuajiriwa
 
wakuu habari zenu wakuu
Mchemia natafuta kazi

Nmesoma barchelor of science in chemistry nakumaliza nkiwa na ufaulu mzuri(2014-2017)

kazi nazoweza kufanya:
1.Quality assuarence/control
2.Labaratory technisian ikiwa ni pamoja na kumeasure parameter zozote field(machimbo ya madini)
3.inspector

najua hapa jamvini kuna watu wengi wenye viwanda na maabara nyingi kama unaweza kunisaidia kupata connection kijana mwenzako ntashukuru sana.

Hata kama huna kazi pia hata mawazo yako ukinipa ntashukuru.

npo Dodoma kwa sasa.

Hebu fanya kitu kimoja mkuu.Tengeneza mchanganuo wa biashara ya sabuni za maji (za kunawia mikono ,kusafishia vigae na vioo vya madirisha etc)

Tuchukulie mfano wa batch ya lita 50,
-Chambua mahitaji ya kila ingredient ya kutengenezea sabuni na bei yake na jumla ya gharama za kutengeneza Lita 50.

-Fuatilia bei za vifungashio vya sabuni na jumla ya bei kwa hizo lita za.Angalia zile zenye mvuto kwa wateja

-Angalia bei za kutengeneza label nzuri yenye jina la utakalopenda na structures flani za kikemia najua unajua.Watu wa kutengeneza logo wanajua hizi negotiate nao

-Jumlisha gharama zote hizo na gharama nyingine kama production costs maana najua itakua ni small scale hivyo utahitaji ndoo na diaba chache ,maji na mti wa kuchanganyia

Then fuatilia bei ya sabuni mbali mbali za aina hiyo kwenye market halafu uweke bei yako uone ni faida kiasi gani inakuja

Hebu ona kama unaweza kutumia chemistry kutengeneza sabuni nzuri kuliko wengine wasiojua ukiongeza ,,,,,,,, kwenye sabuni povu lake linakua zito na sabuni inakua nzuri kwa sababu X itakua methylated at functional group Y hivyo kuongeza lipophilicity ya hiyo makitu[emoji23][emoji23][emoji23]

Am just saying tu kua unaweza fanya kitu kidogo kidogo baadae kikawa kikubwa

Nasubiri mrejesho wa hiyo analysis
 
Asante sanaa kwa mawazo mbadala ngoja niifatilie hii kitu nione kama ntaweza capital yake
 
Then fuatilia bei ya sabuni mbali mbali za aina hiyo kwenye market halafu uweke bei yako uone ni faida kiasi gani inakuja

Muulize Kwanza Una Mtaji ? Unaweza Shuka Notes Kumbe Na Yeye Akili Hyo Anayo Ila Shida Ni Capital
 
Kwa fani yako hapo Dodoma unaweza kuanza kufundisha tuition kwa wanafunzi wa o- level na advance...utapata wateja mkuu wazazi wanataka watoto wasome masomo ya sayansi so inakuwa sio wagumu kutoa pesa huu ni ushauri wangu lakini.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri lakini kipaji cha ualimu sina kabisa na kila mtu huwa ananiambia siwezi kufundisha kabisa(tukiwa chuo)
 
Mkuu kwa dunia ya leo unaweza kuingia YouTube na kujifunza mbinu za kufundisha. Sio walimu wote wanavipaji na pia kipaji lazima kiendelezwe. So bado naamini ukiamua unaweza. Masomo ya sayansi ni dili hapa Tanzania weka nia
 
Asante sana mkuu kwa ushauri lakini kipaji cha ualimu sina kabisa na kila mtu huwa ananiambia siwezi kufundisha kabisa(tukiwa chuo)
Kwa nni ulisoma chemistry Kama uwezo wa kufundisha huna?
 
Nataka Nifungue kiwanda cha wine hapo Dodoma.Nipo kwenye harakati za mwisho.kwa fani yako unaweza kuwa testa wa wine.(Muonjaji kabla Ya Kufanyia package).
 
karibu sana mkuu naweza pia kuwa quality controll wako,
ukizingatia hata reseach yang ilijikita kwenye hiyo kada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom