Mkemia natafuta kazi

wakuu habari zenu wakuu
Mchemia natafuta kazi

Nmesoma barchelor of science in chemistry nakumaliza nkiwa na ufaulu mzuri(2014-2017)

kazi nazoweza kufanya:
1.Quality assuarence/control
2.Labaratory technisian ikiwa ni pamoja na kumeasure parameter zozote field(machimbo ya madini)
3.inspector

najua hapa jamvini kuna watu wengi wenye viwanda na maabara nyingi kama unaweza kunisaidia kupata connection kijana mwenzako ntashukuru sana.

Hata kama huna kazi pia hata mawazo yako ukinipa ntashukuru.

npo Dodoma kwa sasa.
Vp kaka ulishapata kazi?? na mm nasoma iyo course
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom