Mkemia katika ubora wake

Labda anajua ''enzymes" maana ni level nyingine aseee
Level nyingine kwa upumbavu.

Rais anayeita mawaziri wake wapumbavu bila kujua kwamba kwa kuwaita mawaziri wake wapumbavu amejiita yeye Rais aliyewateua mpumbavu mkubwa zaidi ni lazima awe level nyingine kwa upumbavu.

Sent from my Kimulimuli
 
Flame test ya mkojo ni ipi mkuu, nataka nipime mwenyewe kabisa kabla sijafika kwa mkemia maana atanilisha matango pori
 
Exactly.

Ukiwa na madawa yeyote ya kulevya una " burn with pop sound" , unatoa black fume insoluble in excess hydrogen sulfide, na harufu yake inakuwa pungent irritating na inajibadilisha kutoka aqueous hadi kuwa black solid
 
Hahahahahaaaa, we mkemia ni shidah!

Ivi kuna harufu ambayo ni aqueous na yenye rangi?
 
Kama hajajua catalyst ni nini na umuhimu wake si mkemia huyo.

Labda mpika gongo tu.

Ndiyo maana hata jina lake akaitwa Pombe.
Kumbe ndio maana wa kukuru.puka!ukinywa Machozi ya simba lazma wenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…