kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,498
- 4,279
Asante kwa experience yako mkuu.Mkuu wiki ijayo wanatoa. Sina uhakika na tarehe lakini kwa uzoefu utumishi huwa ni mwezi mmoja tu wanaachia
Job seeker walioomba ni wengi mnoo nadhani kwa mtazamo wangu itachukua time Mpk Jan 2022. All in all unapaswa kujipanga hata ili hata wakitangaza kesho unakuwa nondoMambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Nimekupata mheshimiwaJob seeker walioomba ni wengi mnoo nadhani kwa mtazamo wangu itachukua time Mpk Jan 2022. All in all unapaswa kujipanga hata ili hata wakitangaza kesho unakuwa nondo
All the best wote watakaochaguliwa kwa ajili ya interview
Muda wa kuwasiliana na ile namba ya Mganga Tanga 😅Mambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Mkuu umepiga msuli vizuri? paper zimeshiba huko hebu uwe unapitia matokeo ya wadau huko, kuna 4 nyingi.Mambo job seekers wenzangu?
Kuna mwenye fununu ya hawa utumishi watatoa lini ule mkeka wa kazi za tra ambazo deadline ilikua 4/11/2021?
Tunataka tukajaribu bahati zetu.
Sijui hata nisome nin mkuu.Mkuu umepiga msuli vizuri? paper zimeshiba huko hebu uwe unapitia matokeo ya wadau huko, kuna 4 nyingi.
NotedAfter two weeks from tomorrow. Tutawaita.
Kuna jamaa kaniambia huenda zikafanyika kikanda,kuna ukweli?Mkuu j3 amini hata muwe laki j3 inachukua mwezi tu kuitwa kwenye interview kikubwa jiandae tafuta getto huko dom
Tra deadline ilikua 4th November.Nitashangaa kuona Mkeka wa TRA unatoka kabla ya ule wa TANESCO ambao deadline ilikuwa 28 November.
Nitashangaa Sana. Na nitaamini kweli Kuna jambo lisilo la kawaida.
Sijajua kama kweli ni poa sanaKuna jamaa kaniambia huenda zikafanyika kikanda,kuna ukweli?
Hizo za Tanesco azipo tena fanya mambo mengine interview inayofata ni TRANitashangaa kuona Mkeka wa TRA unatoka kabla ya ule wa TANESCO ambao deadline ilikuwa 28 November.
Nitashangaa Sana. Na nitaamini kweli Kuna jambo lisilo la kawaida.
Hata Sina habari nazo. Ila Kuna mdau aliweka thread ya kwamba Utumishi wasitisha interview za Tanesco watu walimponda Sana. Sasa wataanza kuelewaHizo za Tanesco azipo tena fanya mambo mengine interview inayofata ni TRA