Mke

Mke

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,062
Jamaa mmoja aliulizwa utaoa liniI ?akajibu nasubiri mwanamke
atakaeachika ndio nimuoe;watu wakamuuliza kwanini unataka aliyeachika?
akawajibu kwasababu MKE MWEMA NI YULE ANAYETOKA KWA BWANA .
 
Back
Top Bottom