Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
Jamaa ameoa anaishi na mkewe kama ilivyo kawaida muonekano wao wanapendana kupita maelezo:-
Tatizo ambalo ni kubwa jamaa huwaga anakojoa kitandani ,mkewe ikampata kazi ya kufua mashuka kila siku ,mpaka akapata hofu majirani watajua ,kojo la mtu mzima lazima shuka zitaonyesha ramani ,ila ikawa hajui la kufanya ,uamuzi wa mwisho alimuita mumewe na kumwambia ,mume wangu mambo yako ya kukojoa yeshanishinda ni bora tuachane nirudi kwetu la si hivyo usikojoe tena,yule jamaa akapata mtihani akamuomba mkewe amvumilie ,ila mke alikataa na kusema leo ndio leo ukikojoa kitandani leo basi kesho mimi si mkewo ,jamaa akakubali shingo upande.
Usiku ukaingia jamaa akiwa na hofu kuu na alichelewa kulala ,ila mkewe alipata usingizi mzito huku akikoroma ,nae jamaa ukamshukua usingizi bila ya kujijua ilikuwa saa ngapi ,kufika asubuhi mke alikuwa wa mwanzo kuamka haswa ilivyokuwa yeye alilala mapema ,kwa kweli mke alionyesha kushangaa na kuona ule mkakati wa kumzuia mumewe kukojoa umefanikiwa ,akalipapasa godolo na shuka akaona hakuna mueneo wa mkojo ,shuka lipo kavu halina bahari ya mkojo akafurahi sana ,akelekea zake chooni kupiga msuaki ila kabla hajatoka wakati anafungua mlango kuelekea nje ya chumba chao akaisikia harufu kali sana ,akarudi kwenye kitanda na kutanguliza pua ,duh akagundua kuwa muwewe hakukojoa ila kanya ,alikunja nguo zake hapohapo na kurudi kwao shamba.
Jamaa kuamka anaona makabati yapo wazi na mkewe hayupo ikimaanika kuwa ameshaondoka ,kumbe yule mume ilikuwa anapolala huwa anajiwa na jini ambae anamlazimisha kukojoa kitandani na kama hakojoi basi atamuua,siku ile alipomjia usingizini akamueleza kuwa kama leo nikikojoa basi itakuwa mwisho wa ndoa kwani mke wangu ameapa kuwa leo nikikojoa ndio mwisho wa ndoa ,yule jini akaona hilo ni jambo dogo tu ndio akamwambia hadi ya kukua ipo palepale ila kwa vile una tatizo hilo basi leo kunyah !ikawa hakuna choice ili kuepuka kifo akaachia !.