Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,573
- 16,365
acha ukuda shusha mzigo hapaNaambatanisha hiyo whatsapp video soon
acha ukuda shusha mzigo hapaNaambatanisha hiyo whatsapp video soon
Haya nauleta, ushindwe weweacha ukuda shusha mzigo hapa
Ushauri maridhawa Sana huuEndelea kusugua rungu na hiyo video mtumie na yeye mwambie utamwendea bwagamoyo 😜😜
Usimwite ndondocha mtukufu mkuu a.k.a mchuma fedhaOngea na yule ndondocha wako afanye mambo ngoma iwe droo gilesi.
BADILI TABIA sibadili tabia ng'ooooo!!!!!Mwambie mkeo akuroge vizuri uache kutembea na rafiki yake
Kwa uhuni huo mtarogwa tu
Mtumie mkeo hiyo video klipuWANDUGU WAPENDWA MNO JF LA FAMILIA.
Ndugu yenu Bujibuji a.k.a General Galadudu nimetumiwa video clip ya mke wangu usiku huu saa nne kamili akiwa kwenye kilinge cha mganga akinishugulikia. Aliyetuma hiyo video ni shosti wake, ambaye pia mimi nimekuwa nikimtumia kusuuza rungu pindi mke wangu anapokuwa kwenye mgomo wa kugegedwa.
Mke wangu ameondoka tangu asubuhi na ameniaga kuwa anaenda kwa shangazi yake lgogwe kumsabahi. Mke wangu anadai kuwa mimi si mwaminifu licha ya kwamba hajawahi hata kuona sms kwenye simu yangu lakini amekuwa akioteshwa nina mwanamke.
Najaribu kumpigia hapatikani.
Naambatanisha hiyo whatsapp video soon
Duh..... Ikawaje mzeeBujibuji umenikumbusha kipindi naishi na mke wangu, nilikua na kamchepuko fulani, sasa nako kakashtukia kua Nina mchepuko mwingine, kakasema Weee kalivoona sisikiii kakasema naenda kusemelea kwa dada (mke Wangu) labda ndio utamsikia .
SawaMtumie mkeo hiyo video klipu