Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.
Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".
Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.
Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.
Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.
Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.
Ahsanteni nawasilisha.