Mke wangu usiku wa jana nusura aniue, angenipa kilema

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
1,544
2,000
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.

Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.
 
BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,924

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchunga kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezsiwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.
Vizuri, endelea kumpenda mke wako!
 
That Gentleman

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,799
2,000
Niliangua kilio cha uchungu

Mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia.
Huyo atakuja akuchome na maji ya moto au mafuta kwa kisingizio cha hasira tu...

Nyara za govt si za kuchezewa chezewa kabisa...

Ukiwa unamchekea chekea, katakuwa ni kamchezo hako 😀😀

Mpaka nasahau kuuliza, ni nani kamkosea mwenzake? Wewe au huyo aliyekuwa anataka kuhujumu uchumi wa kati?
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
10,477
2,000
Dah... Umenikumbusha mbali sana Mkuu! Mimi niliwahi kukwaruzwa na kisu sehemu tatu, mbavu ya kulia, ya kushoto na chini ya tumbo! Nilipoona yuko serious nikajua hapa ntakufa kweli ikabidi nitumie mbinu za kivita Sasa kumthibiti, nikadaka Mkono aliioshika kisu nikaukandamiza kwenye Kochi mpaka kisu kikavunjika yeye akabaki na mpini..
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,735
2,000
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.

Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.
Sasa pamoja na kumzalisha watoto 2 bado hajui umuhimu wake mpaka anafikia kuzifinya...?
 
Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,409
2,000
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.

Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.
Utatujulisha kinachojiri saa ngapi nawe utakuwa umeshakufa kufikia jioni?
 
BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
8,189
2,000
Kwa masikitiko makubwa mkulungwa jana usiku ingekuwa usiku wangu wa mwisho duniani.

Tukiwa kitandani bahati mbaya ukazuka ugomvi na kutoelewana baina yetu, nilikuwa na boksa tu, katika purukushani akazikamata korodani zangu akaniambia "baba fulani ukiendelea utazikosa".

Ila nikajitutumua kumpiga, akaanza kuzifinya, niliangua kilio cha uchungu kilichoamsha wanangu wawili. Kwa kuwa mlango ulifungwa hawakuweza kuingia chumbani.

Baada ya kusikia baba yao nalia nao walianza kulia, mke wangu akaniacha kwani nilikuwa nakaribia kuzimia. Akawarudisha watoto bedrooms zao wakati huo nilikuwa nimelala sikuweza kuinuka.

Asubuhi ya leo wife kaniomba msamaha na kusema hasira tu, sikumjibu kitu na job nimeomba ruhusa, siwezi kutembea vizuri.

Kitakachojiri nitawajulisha, ila bado nampenda mke wangu.

Ahsanteni nawasilisha.

Aisee 😂 kwahiyo for now unachechemea
 
pleo

JF-Expert Member
Jun 20, 2013
2,939

Nilitaka ni komenti, Ila kabla ya kukomenti nikasema niulize kwanza ilikuwaje ukalala na boksa?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom