Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,992
- 168,518
mweleze hali halisi.....na wakati ulipokuwa kwenye idara yenye neema hukuweka vimiradi???
BADILI TABIA, wengi hujisahau, hawakumbuki kuwa maisha ni hills and valleys.Akipata chance ya pili naamini atakuwa na nidhamu ya fedha. Mentor ana usemi wakeIrere lya Isembo ni ndeu - Benki ya mjinga ni tumbo lake., naupenda naogopa ku invest tumboni ndiko umasikini unako anzia.
Do i need say more!??
Bujibuji, huu ni wakati wako kuinvest. Usitegemee mshahara wako.
Na hii ni principle yangu:
- Mshahara wangu ni capital yangu tu. Sijui unatoka lini wala sijali hata ukichelewa. Nimeshautumia vyema kuwekeza na vitega uchumi vyangu hivyo ndo vinanilisha na kunitunza.
Damn am ready to marry, tatizo wa kumuoa sasa...!!!:A S 39: