Mke wangu pasua kichwa

Hahahha nitakuwa napita nikiacha alama dear.
Sasa hivi sipotei.
Halafu..... Daah ngoja nije piemu maana nilichotaka kuuliza kisije zua balaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
h
huyo bado anakuchukulia kama mpenzi kw hiyo yupo hapo kama mtalii siku mbili kwako siku mbili kwao.. Na ndiyo wadada wa siku hizo wao wameshazoea kulanda na njia kutongozwa kila siku kwa hiyo akikaa kwako muda mrefu ataata hizo mambo...Hapohujaoa mke ila upo na mpenzi wako na ukute hata kupika hapiki kila kukicha mnakula baa
 
Hahahahahaa some times wanawake wanapenda udikteta akisema mkazie hakuna kwenda na siku unamwambia nenda alaf hakuna kirudi mara mbili aua tatu ataavha huo ujinga
 
Wala haendi kwa mama yake bali anaenda kwa Ex wake. Jiongeze mkuu
 
Mpeleke kwa ally kiba pasua kichwa mwenzake ndio watawezana
 
huko kwa mama kuna namna nyingine...
Fanya uchunguzi
 
Mkuu labda kwa mama yake kuna Wi-Fi so anaenda kuchati.
 
Sio msagaji kweli uyo na mamake? Hebu chunguza fresh mkuu nahisi waga anamiss vitu kutoka kwa mamake kwa muda....
 
Mpatie ujauzito trip za kwenda kwa mama zitabadilika na kuwa za clinic.
 
Sio msagaji kweli uyo na mamake? Hebu chunguza fresh mkuu nahisi waga anamiss vitu kutoka kwa mamake kwa muda....
Umeenda mbali mno mkuu. Umeonja kidogo au upo kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…