Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu
Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....
ana umri gani mkuu? ingawa sioni shida hapo kama amemiss mama yake aende tu na akikaa huo masaa mawili akasema amekumiss arudi tu uendeleze hio dose unayompatiam, usicomplicate maisha