Mke wangu pasua kichwa

Baba Loveness

Member
Sep 24, 2014
6
69
Wakuu naombeni mtazamo wenu kwa hili swala ati inakuaje una oa mutoto wakike (matured enough) mnakaa nae hata mwezi hauishi anaanza kusema anataka kwenda kwa mama yake.. Yani unakuta upo na mkeo dozi kali unampa mkiwa faragha bt fahamu zikimrudi tuu yeye anamtaka mama, sasa hii kitu mimi sielewi itakua bado ana kabehaviour ka utotoni au ni ulimbukeni na kujiendekeza tuu


Inafikia mahali na mpa kalikizo ka miezi kazaa akakae kwa mama yake hadi achoke akikaa siku mbili tuu ati kanimiss anang'ang'ania kurudi nyumbani akirudi muda tuu bado anazingua hivyo hivyo... Naombeni msaada plz.....
 
hahaha aiseee...
haakuwa huyo bado chief, na wazazi wake nao hamnazo kwann wanamruhusu na wamekuozeshaa...?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio maana mnaambiwa muoe watu waliopevuka


Kula bila nguo na mwenzio sio shughuli ndg mtt wa watu kila akigeuka anakutana nayo unadhani mchezo
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom