Mke wangu nimemtimua leo

Nimewaza vizuri sana,nikazingatia bandiko lako,hebu lisome mwenyewe kwa utulivu,ila ujuwe Luna muongozo WA kuishi na Mke,nanukuu,( ishini na wake zenu KWA AKILI ),mwongozo huo usipo upata maishani mwako utabadilisha viumbe hao hadi kiama,wasalaam
 
kazi ya jukwaa ni nini sasa,kuacha ujinga ni ngumu
 
Duuuuuuhhhh ushauri mwingine bwana .......

Mtu kaomba ushauri wengine wanaleta swaga......
 



Ulitaka apeleke wapi mkuu au akawasimulie ukweni? humjui na hakujui ata akileta hapa ana hasara ipi? zaidi ya kupata relief ya tatizo lake? wakati mwingine tunahitaji busara katika kuchangia hoja, huu mchango sidhani kama una manufaa kwa mtoa mada
 
Pole kwa yaliyokukuta. Inasemekana wewe hujawai msaliti!!
Ila Kuna kipimo cha mama yako kukufariji.
 
ila huku jamii forums mtu akifanya tukio na mke wake lazima alete report eti inatuhusu kwani?
Yaani hawa ndo wale wakikosa internet connection wanatafuta vijiwe vywa kwenda kupiga umbea.
 
Lakini huyo kaeleweka anachozungumza kama yy ni lege lege na ww ni mpingo Lakini dada zetu wengie wanakuwa na tamaa nyingi lakini kwa ww ambaye hujagundua kuchapiwa utaona powa tu! Elewa hata ww unachapiwa sema tu hujagundua,wengine wanazidi hadi wanaitwa suzuki kwa kasi aliyonayo wife!
 
Mmh!!!!! Na ukitaka papuchi bi mkubwa wako atakupa?punguza hasira.
 
pole sana kaka mimi niko kwa ndoa 10months maisha si mabaya sana though bibie ananiwakia kama mtoto mdogo
 
Usaliti upo tangia enzi za Adam na Hawa...mrudie mkeo
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nyie ndo mnatufanya tusioe kuhalalisha hiki kitu.....wanawake wooote hao mpk aje kwa mke wangu ebooo!! Nadhani kila mwanaume anaweza kupata mwanamke wa kwake pekeake na wakabaki. Sasa iweje wangu [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51] Mkuu napata hasira kweli napofikiria hii kitu. Daah wacha niendelee kuwepo wepo kwanza
 
safi sana kijana ......mke mwema is coming soon we jitahd kutenda wema tu kwa kila ajae usilipize
 
ushauri wangu ni uhamishie mapenzi yako katika kazi zako na uweke juhudi za kutosha itakusaidia kusahau machungu na utaongeza kipato chako,pole bro
 
Kakusaliti kwasababu umeshindwa kumpa mimba ndani ya miezi 7 ya ndoa yenu.
Alikuwa anatafuta Mtoto nje ya ndoa huyo.
 
Izi stress za wanawake ni shida kubwa sana mimi yalinishinda ndani ya miezi michache mno,wanawake wamekuwa viumbe wa ajabu kabisa bora azini akumbuke kutumia hata kinga basi,hayakumbuki matokeo yake yanaleta na magonjwa ndani ya nyumba mtu kama huyo umfanyeje sasa zaidi ya kumtimua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…