Kwa uzoefu wangu,Mme na mke mkishaanza kupeleka mashitaka Mara kwa wazazi,kwa balozi sijui wazee Wa kanisa au sijui kwa jirani,hapo hakuna ndoa ni michosho tu,Mimi naamini kuwa ikiwa mke wangu nilimtafuta mwenyewe na tukaelewana sisi wawili hadi kufikia kuoana hivyo na mambo yetu yatamalizwa na sisi wawili,majirani ,padri,mchungaji na balozi kamwe hawezi kuwa suruhisho la ndoa
Hivyo kama mlitafutana ninyi wawili,mnawajibu Wa kuyamaliza ninyi wawili,uamzi ni wako kumeza au kutema,lakini pia bora pengo kuliko jino bovu.
Kuhusu swala la kukuroga hapo anakutisha tu,kumuua mtu au kumroga ni kazi ngumu sana kuna vitu vingi sana yapaswa vikamilishwe ili kutimiza lengo,na nakuambia hawezi kwani inavyoonekana wewe ni muoga Wa nguvu za Giza hivyo anatumia uoga wako kukuendesha,hakika nakuambia utapata tabu sana.
Mwisho ,Maisha ya duniani ni mafupi sana,Fanya uwezavyo uyaishi kwa furaha,kamwe usiruhusu mtu awaye kuvuruga na kuingilia amani ya Maisha yako na kukufanya uteseke ,fukuza oa mwanamke mwingine,akileta jeuri fukuza oa mwingine,hadi siku ya kifo chako,lengo ni kuhakikisha unaishi Maisha ya furaha,babu Yangu alioa Mara tano,mke Wa kwanza alifukuza hivyo hivyo Wa pili ,tatu,nne akaja kufa akiwa na mke Wa tano,lengo lake ilikuwa ni kutoruhusu huyu kiumbe mwanamke anampa tabu maishani mwake.
Ova.
Wacha wee!Nimefanya utafiti usio rasmi makahaba wako vizuri sana kumuandaa mwanaume na
Umeingia cha kike.Habari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Wacha wee!
Kahaba alikupa nini cha ziada ambacho kwa mkeo hukuwahi kukipata?
Unajuwa kusoma lakini?Wacha wee!
Kahaba alikupa nini cha ziada ambacho kwa mkeo hukuwahi kukipata?
HapanaUnajuwa kusoma lakini?
Ndio maana hujaelewa nilichoandika.Hapana
Mistar ya mwisho nimechekaaaaHabari wana JF.
Nina mke wangu ni mkorofi kupindukia, ana mdomo, muongo, mchonganishi, ana hasira, mropokaji. Halafu yeye ndo wa kwanza kupiga simu kwa ndugu akiwaambia namnyanyasa sana. Kwakuwa mimi siyo mwepesi wa kutoa taarifa za ugomvi wanaamini asemacho mke wangu ananikosesha amani kiasi kwamba nashindwa kutulia kazini. Nimejaribu kutafuta suluhu kwa wazazi wa pande zote mbili,kaka zake,majirani zetu mpaka kwa balozi lakini haijasaidia chochote.
Mbaya zaidi anajitapa kwa uchawi na nguvu za giza akisaidiwa na mjomba yake ambaye ni mganga wa kienyeji.na kwamba nikimfukuza ataniroga na kuniharibia maisha.
Naomba msaada wenu mke kama huyu nimfanye tuishi kwa amani au tuachane kwa usalama Kabila lake ni Mjita wa Musoma.mara nyingine nafikiria kufanya jambo baya na la hatari lakini moyo unasita.
NAPATA TABU NA NDOA YANGU hadi naona bora nitoe roho nipotee
Hivyo eeh!!? Basi pole yanguNdio maana hujaelewa nilichoandika.
You're listening too slowly.
My Dear kesi ya huyu jamaa na Mimi zinafanana hata Mimi nilihisi Ni mental case. Coincidence Ni kuwa Kabila Lile Lile....π©π©π©π©Pole mkuu.
Mkeo ana insecurities, hajiamini, labda aliwahi kutapeliwa kimapenzi,hivyo bado anawindwa na her past experiences!..anatumia vitisho, moja kupata attention yako,mbili ni desperation she want you to remain in her life,
Mkuu simply mkeo ana vidonda, chunguza mahusiano yake ya mwanzo...
Solution ni kumuonyesha unampenda, fanya kila juhudi mfano kumtoa out,kumnunulia kidani etc.... ukiwa constanly reinforcing this in the enda utaona ana relax mkuu......
Jaribu hili nililokushauri, kama halifanyi kazi then mkeo ni mental case,she is not fit for a wife's role,muache tu kwa roho nzuri usiogope vitisho vyake, ukiendelea kuwa nae ilhali unajua ni mental case usije kulia siku moja kuwa umemwagiwa tindikali siku moja
πππHamkuchunguzana kabla ya kuoana, au ndio ulimpendea chura ukajipa moyo vingine utamrekebisha ukimuoa?
Habari wana JF.