Mke wangu ni mjamzito; naomba ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu ni mjamzito; naomba ushauri

Discussion in 'JF Doctor' started by Shomari, Apr 17, 2010.

 1. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wanajamii! napenda kupata ushauri toka kwenu. mke wangu ni mjamzito na huu ni ujauzito wake wa mara ya kwanza. kwangu mimi kusema kweli ni vigumu kuelewa mabadiliko zaidi ya hii ya kubadili aina ya vyakula kila siku. Je kuna mabadiliko gani mengine ya kisaikolojia yanayoweza kumtokea mama mjamzito? na Je ninaweza kufanya nini katika hali kama hii? asanteni sana!
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Shomari;

  Sijui pa kuanzia maana ni mengi yanatokea, physically, emotionally na hata hormonal changes!! Tafuta kitabu kinaitwa "WHAT TO EXPECT WHEN YOU ARE EXPECTING"
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni kuwa mpole tu na kumchukulia kama alivyo..zidisha mapenzi kwake na uwe karibu nae zaidi.. hii naona inasaidia sana kisaikolojia kwake
  Pia Inategemea maana kila mmoja huwa ana mabadiliko yake tofauti..
  Unaweza shangaa akakuchukia au akakupenda zaidi uwe karibu yake mala kwa mala ..wengine wanakuwa na vihasira vya hapa na pale kununa nuna ovyo..
  Wengine hayo yote hayapo ...
   
 4. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Fl1 kaandika kila kitu hapo hayo ndio niliokutana nayo na ni mtihani mkubwa mkuu.ukiweza kufatisha aliyoyasema fl1 basi mambo yatakuwa vizuri.zaidi ya hapo hongera sana na mungu hawa bariki mpate mtoto mwenye afya njema.
   
 5. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  kisaikolojia anakuchukulia wewe as the cause......... sasa hapo pana imlication..... kama laivyosema FL1 kuna jibadiliko vingine haina kichwa wala mgu na vingine havipo kabisa........ ila you will alwayz remaina a focal point of her mind wahtsoever......... kuna nadharia ya kisaikolojia inasema mwanake mjamzito amabye hajaolewa, tumbo lake likitangulia hulivuta nyuma lirudi...... na yule aliyeolewa, tumbo likitangulia humvuta na yeye hulifuata............ hivyo ndo aana unaona wajawazito wenye ndoa huwa na matumbo makubwa zaidi ya wajawazito wasio na ndoa mfano binti akipata ujauzito akiwa bado shule, mnaweza kusikia tu kajifungua bila watu wengi kunotice ujauzito aliokuwa nao................

  hii yote iko cenyralized kwa mume .......... sasa take care........ akikutuma mnunulie kitu fulani, nenda saa hiyohiyo mwnyewe na usithubutu kumtuma mwingi, ama ukimtuma ufanye siri na asijue, kwani anaweza kukikataa na hata kuanza kulia kuwa umthamini.......... akitaka uache kazi ili ushinde naye nyumbani, mwambie akuruhusu japo siku hiyo upeleke barua ya kuresign halafu utarudi............. ukifika job piga mzigo ukirudi mwambie foleni ama trafiki alikupiga bao........... ili mradi utie akili kichwani hadi atue mzigo..............

  the bottom line........... usiseme "mke wangu ana mimba" sema "sisi tuna mimba" kwani hata wewe unaathirika kisaikolojia na hiyo mimba "yenu" japo wewe hujijui................ na kwa vile umeoa, principle inabaki palepale kuwa tumbo likitangulia linakuvuta na wewe unalifuata......... ila cmparatively mwanume hubaki less vulnerable ................
   
 6. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na kweli, nilishamuona jamaa mmoja toka mkewe kapata ujauzito yy na malimao na pilipili yani akisikia tu harufu ya kitunguu ni kutapika utafkr mimba kaibeba yeye. Ajabu siku mke alipojifungua nae akapona
   
 7. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Akili hiyo ni experience au ?
   
 8. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  nitajitahidi kufuata ushauri wenu mlionipa. asanteni sana.
   
 9. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mkuu hii nimeipenda tena sana!
   
 10. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Mmmhhh!!! hii kali ya kumalizia 1/3 a mwaka!!!

  Tiba
   
 11. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0


  Ni vema wanaume wakaelewa vizuri hayo, tena wayatilie maanani. Kuna baadhi wanathubutu kuwaacha wake zao au magalfriends zao wakikimbia adha za mimba; mtoto akizaliwa wanadai 'mtoto wangu', mtoto wako my a''. Msione vyaelea vimeundwa.

  Tena t is high time kuanza kuegemea identification toka upande i.e surnames zisiegemee upande wa baba, na jina la mama liwepo.
   
 12. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahah, unachokoza mpendwa.......... umesahau pearl yuko humu?..... ni research na ka-experience kadooooooooooogo ....... tupe basi experience yako dear, hope umeishajaliwa kid(s).......
   
 13. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ^ hahaha Sorry basi kama nimekusababishia ushikwa shati... mie sina experience...hii project ya production
  (kids) bado naifanyia kazi haijakamilika bado...
   
 14. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #14
  Apr 20, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Naona ushauri wameshatoa wanajamvi waliotangulia, mimi labda niwape hongera tu wewe na mwenzi wako kwa hatua mliyofikia na kuwatakia kila la kheri.
   
 15. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  msisahau kwenda kliniki.
   
Loading...