Mkuu Supervisor kama imethibitika huyo mkeo ana Ukimwi, kwanini unadhani ni busara kuendelea na Ndoa?
Mm nakushauri vunja hiyo ndoa, halafu kama ni maswala mengine ya kusaidiana kimaisha yaendelee kama kawaida.
Habari zenu wana JF.
Poleni na mihangaiko ya wiki nzima na leo hatimaye mmerejea kulijenga taifa. Jamani nimejitokeza leo kuwaeleza true story ya maisha yangu na kama kuna ushauri basi nitaupokea. Mimi nilioa kwa ndoa takatifu mwez Sept 2012. Ilipofika Nov 2012 Mke wangu alipata ujauzito na kila m2 kati yetu akawa na furaha.
Sasa ilipofikia muda wa kwenda clinic kama ilivyo ada mnatakiwa kuwa wote ili kuweza kupata nasaha na hatimaye kupima maambukizo ya HIV. Baada ya yote tukapima na yeye Mke wangu akakutwa anaishi na virus va UKIMWI na mimi niko salama kabisa. Kwel alilia sana na Nurse akapata shida sana ya kumbembeleza hatimaye akatulia na tukatoka akwa na uso wa tabasamu bandia.
Tulipofika nyumban kilio kilianza upya na mimi nikionekana usoni sina hata lepe la hofu wakati moyoni nilikuwa naumia sana. Baadae ucku akaniomba kuwa kwa sababu Kanisani tulifundishwa kuwa ndoa yaweza vunjwa kama mmoja wapo akionekana ni malaya. Ki ukwel mimi nilimkatalia nikamwambia Mi ni wake mpaka kifo kitakapo tutenganisha, wala hakuamini macho yake.
Kwa sasa anaonekana yuko at least normal ki akili na leo ameenda kazini. Yeye binafsi ni muumini mzuri na anapenda kwel kuimba na kumsifu Mungu. Naomba ushauri wenu tafadhali.

Jamani jamani jamani....nimedhihirisha unyanyapaa uko kila sehemu...kwanini mumshauri aachane nae., naomba sababu moja..sawa najua ndoa yaweza kuvunjwa., je mnajua anampenda kiasi gani mkewe.? Mnajua huyo mwanamke aliupata ktk mazingira gani..au mnaassume ni umalaya.? Jaribu kujiweka wewe ktk nafasi ya huyo mwanamke..je weww uliyekwenye ndoa..tuseme we ni mwanaume umepata maambukiz haijalishi ni kwa njia ipi..je ni sahihI mkeo akikukimbia.? Hizo ni roho mbaya na mwenyez Mungu hapendi ..mfano tuutoe kwa sajuki thou yy hawakua na magonjwa hayo..je wastara allivyovunjika mguu angekataa kumuoa kisa ulemavu ambao hapo awali hakua nao..Mungu si athuman sajuki huyo huyo kaja kuumwa na huyo mkewe ndo kahangaika nae.. USHAURI wangu umeshafunga ndoa..alounganisha Mungu mwanadam asilitenganishe haijalishi n matatizo gani..huwezi jua mbeleni Mungu atakupa majaribu gani na mkeo huyo huyo unayemuona hafai akakufaa kuliko ndgu yako...mpende mkeo.mpe moyo..mfariji..ukimwi si kufa leo wala kesho..kuna watu wanadunda mjini anatumia septrine tu..kinga ziko juu kiasi kwamba ht kutumia ARV bado..atazaa salama coz kuna dawa za kuzuia maambukizi kwa mtoto atalea watoto wake vizuri iwpo tu hutomnyanyasa na kumnyanyapaa..kuna watu nawafahamu wameishi maisha km yako..cha muhimu ni kufuata ushauri wa wataalamu hutoambukizwa..nakutakia siku njema..mshukuru Mungu kwa kila jambo na hakika utazichota baraka..usihukumu kabla hujahukumiwa hujui ya mbeleni...karibu
Kama angekuwa ni mwanaume ndo kaathirika, mke wake hata asingeomba ushauri wowote zaidi ya kuchukua begi lake na kuondoka hata bila kuaga. Wanaume tuna huruma sana jamani.*
Jikaze kaka.
Umenisisimua na ushauri wako Mungu atakulipa muda wako ulioutumia
Thank u..I hve close relatives of mine wanashida km yako..na wanamiaka 15 ya ndoa sasa..wanalea mtoto vzr na amezaliwa bila maambukizi..ukihitaji ushauri zaidi nipm..am health personel..na nna umia sana kuona unyanyapaa humu ndabi ilhali hujui kesho yako...
kwani hamkupima kabla ya ndoa.......?
Mmmmh aibu huoni
kwani hamkupima kabla ya ndoa.......?