balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,868
- 15,735
Kama mjuavyo wakuu my wife aliamua kutoweka home miezi kama saba iliyopita na akabeba baadhi ya vitu,naskia siku hizi mambo yake saafi pande fulani hapo Dar.Sikuja kumjadili yeye ila kuna mtu kaniuliza leo vp watoto nikamwambia wako poa,vip mama yao karudi nikamwambia atarudi vipi akasema si anarudi kwake nikameambia haiwezekani.Akaniuliza kwanini,nikamjibu,si atakuwa kama profesa Lipumba?Dar,huyo mdada amechekaaa,mpaka amepata hamu ya kuja kunitembelea.Ni hayooo tuu,ukitukana na mimi nakutukana kupitia CRDB.