Mke wangu mtarajiwa, ananifurahisha sana

Mke wangu mtarajiwa, ananifurahisha sana

Muoee ndo utamjua vyemaaa...!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ukimuoa mambo yote hubadilika,wanawake huweka target ya malengo kwa muda mrefu ili apate anachotaka,it is not easy
 
Weee jichanganyeee tuu Huwajui hawa wanawake eeh! ..!? Hata uchebe alikua hivyo anapewa kila kitu lakini Nusura auwe kilimkuta... Usije ukarudi unalia lia maliza mwenyew huko huko...
 
mkuu huyo ndio mke ole wako uzingue kiruu mbula yaan anakupa mshahara umshikie imani yangu inaniambia huyu atakuwa siyo mchagga ni mkuria maana wakuria wakikupenda aisee basi ushindwe wewe mwanaume.
 
Back
Top Bottom