Mke wangu mbona visa haviishi?

mpk nimechok kusoma ila pole emmyta njoo utie neno hap
Hahaaa. Nimekuja Shoga.

Ila kuna wanaume wanajua kupenda jamaani. Chaaa. Yaani mbali visa vyote bado yumo tu.

Nimwambie tu mke au mume sio kama mzazi kwamba hawezi kubadilisha. Nikimaanisha kwamba endapo atatafuta muafaka na usipatikane hakuna haja ya kung'ang'ania zaidi ya kuangalia sehemu iliyo salama zaidi kwake.
 
Hiyo sio ndoa bali ndoano! Pole sana mdau kwa kuingia kichwa kichwa... Ukiweza kutoka humo, shukuru Mungu...
 
Hahaaa. Nimekuja Shoga.

Ila kuna wanaume wanajua kupenda jamaani. Chaaa. Yaani mbali visa vyote bado yumo tu.

Nimwambie tu mke au mume sio kama mzazi kwamba hawezi kubadilisha. Nikimaanisha kwamba endapo atatafuta muafaka na usipatikane hakuna haja ya kung'ang'ania zaidi ya kuangalia sehemu iliyo salama zaidi kwake.
Emmyta hayo siyo mapenzi ni ushamba na ulimbukeni
 
Hahaaa. Nimekuja Shoga.

Ila kuna wanaume wanajua kupenda jamaani. Chaaa. Yaani mbali visa vyote bado yumo tu.

Nimwambie tu mke au mume sio kama mzazi kwamba hawezi kubadilisha. Nikimaanisha kwamba endapo atatafuta muafaka na usipatikane hakuna haja ya kung'ang'ania zaidi ya kuangalia sehemu iliyo salama zaidi kwake.
Asante dada kwa ushauri, kweli nimechoka..
 
Na wasiwasi na utimamu na ushababi wa mtoa mada,hivi unatoaje ruhusa kea mkeo Tena white pussy kwenda kulala kwa Kaka yake ambaye humjui hujawahi kumuona kwenye event za kifamilia hata sikumoja??
 
Kunywa pombe kampe makavu kama unaona aibu ukiwa na akiri timamamu atakutia umaskini huyo harafu iweje unaruhusu mkeo kulala kwa nduguye hapahapa mjini itakuwa nawe una shida sio hivihivi tu jitathimini kwanza wewe mkuu
 
Ndio mwenyewe kaona yanamfaa sababu mpaka kayaunda mashairi hivyo ujue bado anampenda mkewe hapo.

Ila mapenzi bwana acha tu yaitwe mapenzi aisee
Look kwa mambo hayo acha niambiwe sijui mapenzi ,mshamba majina yote huwezi nifanya msukule kwa kisingizio Cha mapenzi.ote naiyo
 
Back
Top Bottom