Mwanamke akishakua malaya/maji mara moja/kicheche/kisepe basi ujue ni upuuuz hata kama awe mtafutaji vipi, hata hiyo furaha ya pesa mnayotafuta hutaipata, ni mara mia upate mwanamke mvivu ila awe mtulivu na mwenye heshima,
Pia huo unyenyekevu anaokuonesha ni wa kinafiki, kmaa angekua mnyenyekevu kweli basi jata upuuz huo wa kubambiwa vichochoron asingefanya,
TAFAKARI CHUKUA HATUA, usisubir mpaka iwe too late